General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Sasa namba zinajidhihirisha wazi, shilingi inashukaa kwa kasi sana. Ni juzi tu ilikuwa 2180Tsh kwa dola 1.
Unaambiwa utalii na soko letu la nje limepwayaa.
Wafanyabiashara wengi sasa wana ishi kwa hofu, wengi waanza kubadili fedha zao kwa dola ili kujihakikishia usalama wao kifedha.
Mapato yameshuka, fedha zote za TRA huishia kwenye mishahara na matumizi ya kawaida.
Fedha za maendeleo tunategemea mikopo ambayo bado inaonesha hatufai kukopeshwa.
EU na US sasa hawatoi misaada, nasikia na Mchina huyo kazingua kwenye mkopo wa ujenz wa reli.
Nasikia Wakubwa Dunian wametuacha tulivyo waone Mbio zetu zitaishia wapi.
Wafanyabiashara Kariakoo wengi mbioni kufilisika, madeni ya mikopo inawasumbua. Biashara haziendi.
Nnii hatma ya hii?