Shilingi yazidi kushuka, 1 USD = 2223Tsh

Shilingi yazidi kushuka, 1 USD = 2223Tsh

Sasa namba zinajidhihirisha wazi, shilingi inashukaa kwa kasi sana. Ni juzi tu ilikuwa 2180Tsh kwa dola 1.

Unaambiwa utalii na soko letu la nje limepwayaa.
Wafanyabiashara wengi sasa wana ishi kwa hofu, wengi waanza kubadili fedha zao kwa dola ili kujihakikishia usalama wao kifedha.

Mapato yameshuka, fedha zote za TRA huishia kwenye mishahara na matumizi ya kawaida.
Fedha za maendeleo tunategemea mikopo ambayo bado inaonesha hatufai kukopeshwa.

EU na US sasa hawatoi misaada, nasikia na Mchina huyo kazingua kwenye mkopo wa ujenz wa reli.

Nasikia Wakubwa Dunian wametuacha tulivyo waone Mbio zetu zitaishia wapi.

Wafanyabiashara Kariakoo wengi mbioni kufilisika, madeni ya mikopo inawasumbua. Biashara haziendi.

Nnii hatma ya hii?

Acha uchochezi,serikali ilisema itafyatua noti mpya kelele za nini?Huu si muda wa blahblah,serikali haina shamba,mnalia njaa,serikali haina benki,mnalia ukata,mnataka serikali iwapikie na kuwaletea hela?

Ngojeni ahadi ya milioni 50 kila kijiji,ukata wote utaisha.
 
Ha aha ....
We jamaa wewe, kwa hiyo kipindi cha JK ambapo Dollar ilikuwa inashuka kwa kasi sana ilisababishwa na hayo ?
Mkuu, nimesema "MIONGONI mwa mambo mengine"
Nikupe mfano.
Tanzania leo ikiingia katika msukosuko wa KISIASA ama itangaze itaingia vitani dhidi ya nchi X ama Y lazima tu shiliingi IPOROMOKE
Mfano mwingine.
Tanzania ilipoingia vitani na uganda miaka ya 70 inasemekana kabla ya hapo shilingi ya Tanzania ilikuwa inabadilishwa Dollar1 kwa shilingi 20. Lakini katikati na baada ya vita tu na miaka mingi kupita MADHARA yake bado tunayaona mpaka leo.
Hivyo hivyo
MATAMSHI,
KUFUNGAFUNGA wanasiasa na
UNCERTAINITY katika taifa LAZIMA tu ATHARI zi affect soko la kifedha.
Na ndiyo maana viongozi wetu ni MHIMU sana KUCHUJA maneno wanayoyasema huenda yakaathiri uchumi wetu!
 
Mnaouona
Dodoma mfupa ulimshinda fisi wewe nyau wa kwa bibi nyau utauwezea wapi?
Cha ajabu siku hizi huo wimbo haupo kabisa waende wakakumbane na lile vumbi original ni shida tuombe Mungu tu.

Kuna budget ilipangwa na serikali maisha haitakaa itekelezeke maana hata implementation yake bado na bado haitafaa... Mzee wa kuropoka mpk anaficha hela za maafa ili kufidia hakuna ukifikiria unaweza kupata shida what the meaning of budget?

Na bado miezi sita hakuna chochote mwezi wa nne ni kesho kutwa wanaanza budget ya mwaka 2017/2018
HAPA NAWAPONGEZA WAPINZANI KUTOKUWA PART YA HII BUDGET YA Changa la macho ha ha ha ha ha nile zangu maembe kukidhi njaa
uchum

Mnaouona uchumi wa nchi umeshuka,tueleze uchumi wa kwako uko hali gani.Je uchumi wako umeshuka au umepanda? Kiini cha kushuka au kupanda uchumi wako nini? Sitafuti ugomvi,nauliza hivi maana mimi na wewe hutengeneza uchumi wa nchi.

Thamani ya Shilingi inashuka tunapokuwa hatuna vitu/bidhaa/huduma nyingi za kuuza nje.Tujihoji nani anapaswa vitu/huduma/bidhaa za kuuza nje.Tulio mtandaoni ni jukumu letu pia kujiuliza tunazalisha nini cha kuuza nje ambacho waliopo madarakani wamezuwia tusiuze?
 
TUACHE KULALAMIKA, HUU NI MSIMU WA MVUA NCHI NZIMA, TWENDENI SHAMBA
 
KUPANDA ama KUSHUKA kwa thamani ya fedha hutegemea FACTORS/VISABABISHO vingi sana.
Baadhi ya visababisho hivyo ni kama vile:
1. KAULI TATA za serikali ambazo hupeleka MIXED signals/Habari za wasiwasi katika SOKO la fedha.

2.KUKOSA confidence/IMANI ya WAWEKEZAJI katika taifa.
Aitha kutokana na MATUKIO, MATAMSHI ama VIASHIRIA vyoyote vya kuonyesha wawekezaji wana WASIWASI.

3.POLITICAL STABILITY/ AMANI na UIMARA wa nchi KISIASA.

Mfano mzuri ni kama jambo kama la KUMKAMATA Lowassa na kumpeleka kituoni maana ni PUBLIC figure na mmoja wa viongozi MAARUFU wa upinzani..
Hiyo ni FACTOR tosha KUYUMBISHA thamani ya fedha yetu. Najua pengine wengine hawatanielewa. Lakini ndo ilivyo.

4.KUNUNUA Dollar kwa pupa sababu ya HOFU ya KISIASA miongoni mwa mambo mengine.
Hivi ni viashiria tosha KUINUA ama KUSHUSHA thamani ya fedha yetu.

Bila kuwa na positive Political strategy/Mbinu CHANYA za kisiasa. Haya ndo huwaga matokeo yake.

kwa hiyo lowasa akikamatwa mara nne doLa mmoja itashuka 1usd=5000tsh?
 
Zile fedha za MCC zingekuwa kinga nzuri dhidi ya kuporomoka sarafu yetu
Sasa nchi yote ispokuwa Mtukufu na yule mteule wa Jecha tunateseka,kwa kuwa asilimia kubwa ya bidhaa zetu zinanunuliwa na fedha za kigeni
Bado miezi michache kuhitimisha bajeti nchi kifedha ni hoi bin taabani,hakuna ajira wala miradi ya maendeleo ILIYOTENGEWA 40% na kujisifia sana
 
Msiogope hii inaonyesha kuwa uzalishaji wetu wa ndani( Gross Domestic product) ni mdogo hivyo bidhaa toka nje ni nyingi na matumizi ya hiyo dola ni makubwa katika biashara ( foreign exchange)
 
Sasa namba zinajidhihirisha wazi, shilingi inashukaa kwa kasi sana. Ni juzi tu ilikuwa 2180Tsh kwa dola 1.

Unaambiwa utalii na soko letu la nje limepwayaa.
Wafanyabiashara wengi sasa wana ishi kwa hofu, wengi waanza kubadili fedha zao kwa dola ili kujihakikishia usalama wao kifedha.

Mapato yameshuka, fedha zote za TRA huishia kwenye mishahara na matumizi ya kawaida.
Fedha za maendeleo tunategemea mikopo ambayo bado inaonesha hatufai kukopeshwa.

EU na US sasa hawatoi misaada, nasikia na Mchina huyo kazingua kwenye mkopo wa ujenz wa reli.

Nasikia Wakubwa Dunian wametuacha tulivyo waone Mbio zetu zitaishia wapi.

Wafanyabiashara Kariakoo wengi mbioni kufilisika, madeni ya mikopo inawasumbua. Biashara haziendi.

Nnii hatma ya hii?
KUPANDA ama KUSHUKA kwa thamani ya fedha hutegemea FACTORS/VISABABISHO vingi sana.
Baadhi ya visababisho hivyo ni kama vile:
1. KAULI TATA za serikali ambazo hupeleka MIXED signals/Habari za wasiwasi katika SOKO la fedha.

2.KUKOSA confidence/IMANI ya WAWEKEZAJI katika taifa.
Aitha kutokana na MATUKIO, MATAMSHI ama VIASHIRIA vyoyote vya kuonyesha wawekezaji wana WASIWASI.

3.POLITICAL STABILITY/ AMANI na UIMARA wa nchi KISIASA.

Mfano mzuri ni kama jambo kama la KUMKAMATA Lowassa na kumpeleka kituoni maana ni PUBLIC figure na mmoja wa viongozi MAARUFU wa upinzani..
Hiyo ni FACTOR tosha KUYUMBISHA thamani ya fedha yetu. Najua pengine wengine hawatanielewa. Lakini ndo ilivyo.

4.KUNUNUA Dollar kwa pupa sababu ya HOFU ya KISIASA miongoni mwa mambo mengine.
Hivi ni viashiria tosha KUINUA ama KUSHUSHA thamani ya fedha yetu.

Bila kuwa na positive Political strategy/Mbinu CHANYA za kisiasa. Haya ndo huwaga matokeo yake.
Kikwete ndo alituachia hili balaa, Unamkata mtu Jina Kwa chuki binafsi... maana yake ni chini?
Hili ni pigo kuu Kwa taifa la Tanzania ambalo litabaki kuwa kumbukumbu.
Swali, miaka kumi na huyu mtu kweli? Nchi itakuwa Kama Zimbabwe.
 
kwa hiyo lowasa akikamatwa mara nne doLa mmoja itashuka 1usd=5000tsh?
Inawezekana sana.
Lakini kama Lowassa ama kiongozi yeyote wa UPINZANI AKIVUNJA sheria serikali ITATETEWA. Lakini kama nikushika viongozi HOVYO HOVYO tu kwa misingi ya kisiasa wakati wakitimiza HAKI zao za KIDEMOKRASIA,

Naogopa matokeo yanaweza yasiwe MAZURI katika USO wa kimataifa.
Ukweli lazima usemwe!
Labda TUWAFUKUZE waandishi wote wa habari wa kimataifa na kufunga balozi zote. Hata hivyo ndo itakuwa MBAYA zaidi
Katika FEDHA na STABILITY/ AMANI/UIMARA katika nchi ni KIVUTIO cha kutosha kuimarisha uchumi wetu. FUJO, na misukosuko lazima tu ilete ATHARI!
 
PhD za bongo nyingi ni feki ndiyo maana wanaojiita wasomi Tanzania wengi wamejaa vioja.
Duh,mkuu umeua.Inamaana na ya naniliu yule nanilii eti adui wa Ben,sorry.Nayo ni feki.
 
Unajua Taifa likiwa na ujazo mkubwa wa Pesa ya Kigeni hasa USD Tshs inakuwa na nguvu kwa maana tutaweza kununua bidhaa bila kupata shida ya kununua USD. Sasa Rais wetu hasafiri kubadirishana mawazo na wenzake huko duniani wakamshauri na kumpa mipango mizuri.

Nyerere aliwahi kuwa kama kiongozi wetu wa sasa kwa kugomea masharti ya kiuchumi ya kimataifa, alibanwa akabanwa mwisho akachoka mwenyewe. Sasa alipokwenda huko kilichotokea ilikuwa ni mashart magumu magumu na ilibidi kuyafuata tu.

Kwa kweli nimeona dalili kuwa kwamba kiongozi wetu yupo mbioni kwenda huko kwa UN,EU,US nk, kwa maana maji yapo shingoni.
 
Hali ni tete pesa zote kawapa Polisi wazitumie kuwanyanyasa Wapinzani pia Lipumba kachukua kiasi kikubwa na zingine zimenunua ndege na kujenga uwanja wa ndege chato,Uchumi hauwezi kukua kwa style hii ya kuchukua pato la Taifa kutumia hovyo hovyo kwa kuwapa watu kama Lipumba wanagawana Gheto,itachukua miaka mingi Tanzania kupiga hatua endapo akina Tramp na wenzao hawatasaidia kuikataa CCM mapema.
Na ni Dhambi, so hasira ya Mungu usiombe utatamani bora usingekuja Duniani.tenda haki ubarikiwe, tenda maovu ulaaniweee
 
Watu bwana......eti depression.......waTanzania tuna depression kila Siku. Maisha yenyewe ni depression tosha. Uchumi wetu bado. Tuache kuongelea sijui inflation, sijui recession, na lugha pendwa za kwenye vitabu na majarida ya kiingereza. Huko hatujafika. Tufikirie namna ya kuwa na vyoo mashuleni, vitanda mahospitalini nk.
 
Back
Top Bottom