Shilingi yazidi kushuka, 1 USD = 2223Tsh

Shilingi yazidi kushuka, 1 USD = 2223Tsh

Mkuu kizazi cha leo kimekuwa cha kulalamika tuu bila kuangalia tunatoa vipi solution za matatizo yanayotukabili.

Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kufurahia nchi kuwa omba omba. Ofcourse kuna mengi mkubwa anayafanya yanahitaji mjadala mpana. Lakini kwa ukaribu waTanzania tumekuwa walalamishi sana. Tukisahau kwamba kuna 80% ya waTanzania wenzetu wameishi haya maisha ya kupigika mwa miaka mingi tangu uhuru. Lakini kwa sababu walikuwa watu inconsequential hakuna aliytewahi kupaza sauti kwamba hawa watu wanastahili kuangaliwa.... I mean kuna maswali legit kabisa ambayo watu wanastahili kuuliza na kupatiwa majibu. Lakini huu ulalamishi hautusaidii. Na naamini kabisa hata Mkubwa anajua hizi kelele ni za elites (ambao ndo wanaisoma namba kwa sana-maana ndugu zetu wa vijijini walishazisoma kwa sana na kuzikariri). Elites hata siku ya kupiga kura hawaendi. Its sad but sad truth.

Ndo maana leo mtu bila aibu anaandika humu eti...JK ndo alisababisha yote haya kwa kutuletea Magufuli....(kwa kumkata Lowasa) wakisahau kwamba huyo huyo ambaye angekuwa mkombozi aligombea kwa upande wa pili! You and I know what happened.
Nilipanga kutoa like moja tu leo, imebidi nivunje msimamo, nimetoa ya pili kwako.
 
Stil we have long way to go..tuhamie kwnza Dom
 
Ndugu BAK, inaelekea una hasira sana na viongozi wa nchi yetu, nimefuatilia post zako kwa ukaribu nimeona unalenga zaidi kutoa lawama kwa serikali na viongozi wake, ingekua vizuri ukapendekeza na njia za kututoa hapa tulipo kwenda huko unapopaona ni pazuri zaidi, kuliko kupoteza nguvu nyingi kulaumu watu, ambayo naona haitusaidii sana. Naamini wote tuna nia moja, ya kuhakikisha nchi yetu inasogea mbele zaidi, ingawa mitazamo yetu juu ya jinsi ya kufika huko tunapotaka inaweza kutofautiana. Tutumie muda wa kutosha pia kujadili majawabu.

Kwamfano, mtoa mada amelenga kuongelea kushuka kwa thamani ya pesa yetu, wapo wenye uelewa wa haya mambo na wametoa mitazamo tofauti huko juu, ni vyema sasa tukajikita katika kujadili mitazamo hio na kuona kama tutaweza kupata majibu ya swala lililoletwa na mtoa mada.
Huyo hawezi kukuelewa maana yupo kazini kupinga ili apate chakula,hizo akili wala hana maana hapa tunaongelea mambo ya depreciation of currency ambayo hajui hata kidogo zaidi atakuletea mifano ya ESCROW mara UDC,hajui chochote kuhusu mambo ya uchumi
 
Kushuka kwa thamani ya shilingi kunachangiwa na mambo mengi likiwemo deni kubwa la Tanesco la bilioni 800 sijui kama hili deni linahusisha pia pesa ya escrow iliyoibwa ya 321 bilioni ambapo TANESCO sasa wanatakiwa walipe $148 million. Serikali imeomba mkopo wa $300 milioni toka IMF, IMF wako tayari kutoa mkopo kwa sharti la bei ya umeme kupanda. Sasa utaona kulikuwa hakuna sababu ya kumfukuza aliyekuwa DG WA TANESCO.

Kututoa hapa tulipo ni kupambana na mafisadi bila kuwaonea aibu na kuja na visingizio visivyo na kichwa wala miguu "sifukui makaburi ya zamani" huku nchi ikiendelea kuangamia kwa ufisadi na rushwa ya kutisha iptl, EPA, Richmond, lugumi, escrow, symbion, rushwa kwa Wabunge wa MACCM etc

Ndugu BAK, inaelekea una hasira sana na viongozi wa nchi yetu, nimefuatilia post zako kwa ukaribu nimeona unalenga zaidi kutoa lawama kwa serikali na viongozi wake, ingekua vizuri ukapendekeza na njia za kututoa hapa tulipo kwenda huko unapopaona ni pazuri zaidi, kuliko kupoteza nguvu nyingi kulaumu watu, ambayo naona haitusaidii sana. Naamini wote tuna nia moja, ya kuhakikisha nchi yetu inasogea mbele zaidi, ingawa mitazamo yetu juu ya jinsi ya kufika huko tunapotaka inaweza kutofautiana. Tutumie muda wa kutosha pia kujadili majawabu.

Kwamfano, mtoa mada amelenga kuongelea kushuka kwa thamani ya pesa yetu, wapo wenye uelewa wa haya mambo na wametoa mitazamo tofauti huko juu, ni vyema sasa tukajikita katika kujadili mitazamo hio na kuona kama tutaweza kupata majibu ya swala lililoletwa na mtoa mada.
 
Dodoma mfupa ulimshinda fisi wewe nyau wa kwa bibi nyau utauwezea wapi?
Cha ajabu siku hizi huo wimbo haupo kabisa waende wakakumbane na lile vumbi original ni shida tuombe Mungu tu.

Kuna budget ilipangwa na serikali maisha haitakaa itekelezeke maana hata implementation yake bado na bado haitafaa... Mzee wa kuropoka mpk anaficha hela za maafa ili kufidia hakuna ukifikiria unaweza kupata shida what the meaning of budget?

Na bado miezi sita hakuna chochote mwezi wa nne ni kesho kutwa wanaanza budget ya mwaka 2017/2018
HAPA NAWAPONGEZA WAPINZANI KUTOKUWA PART YA HII BUDGET YA Changa la macho ha ha ha ha ha nile zangu maembe kukidhi njaa
ha ha ha ha
 
Tanzania ni nchi tajiri sana lakini utajiri wa tanzania hauwezi kuonekana kwa kuwa na viongozi wajeuri na wasio sikiliza ushauri wa watu wengine wala kushilikiana nao.
 
Hivi Tanzania tuna kipi cha maana mpaka tuseme sisi ni matajiri?
 
Back
Top Bottom