Shikamoo Whatsap...heshima tele kwa data recovery

Shikamoo Whatsap...heshima tele kwa data recovery

Mwambie mkeo hivi: "Ukimchunguza sana bata hutamla" Kosa ni lake kwa nini afukunyuwe data ambazo ziko out of sight? Wanawake wengine bhana, kama mie nakinukisha live tuone nani mtani jembe....
 
Huyo rafiki nae bomu kweli. ni shemeji kula ila mbakishie na mwenzangu japo kidogo.
 
Hakuna mijanaume michafu inayokera kama inayotembea na marafiki wa wapenzi/ wake zao

Yaani hawa wanafaa kupigwa tu

watapigwa wangapi? tabia kama hii pia wanayo kwa sana tu wanawake, cha msingi hapa ni kubadili tabia hizi mbaya
 
!
!
Nimepotea kwa sababu kama jirani yangu anatumia jamii forums atanishtukia kama huuyo ni mimi
 
mwambie mkeo hivi: "ukimchunguza sana bata hutamla" kosa ni lake kwa nini afukunyuwe data ambazo ziko out of sight? Wanawake wengine bhana, kama mie nakinukisha live tuone nani mtani jembe....

!
!
Nilijisemea hivyo hivyo mwanzo ila nikaona nikiwa mkali dah...mie mwenyewe nina gundu
 
Marahaba...
ila tabia ya kudate na rafiki wa mkeo si nzuri, chepukia kwingine rafiki zake achana nao

!
!
kweli bana yaani ni noma tupu yani loh........nimeacha bana. Ila humu ndani kuna mijitu inakariri mbaya, yaani najilaumu maana akipita humu atajua tu kuwa nimembandika hukum loh
 
!
!
kweli bana yaani ni noma tupu yani loh........nimeacha bana. Ila humu ndani kuna mijitu inakariri mbaya, yaani najilaumu maana akipita humu atajua tu kuwa nimembandika hukum loh
Sijui nimmention aje aone akurukie atleast vichwa viwili...
 
tena! uuuuuuuuwi tena.
"Wife" kaja juzi bana kwa ghafla sana geto usiku maana alikuwa likizo, yeye ni mwanachuo katika chuo kimoja hivi hapa jijini. Basi kwa kujua nina conversation na picha za sisizo na maadili za best yake katika simu yangu nikawa mkali mno na simu yangu. lakini baada ya kuona sitaweza njia hii kwa muda mrefu, nikaamua kudelete kila kitu hadi conversation na kijifanya sijui lolte.

Khe kumbe kuna kitu kinaitwa data recovery kimwekwa katika kompyuta yangu ya ofisini kwa kuwa walipiga chini window ili nijaribu kurecover mafile ambayo nadhani nilikuwa bado nayahitaji. "Wife" kama kawaida mida nakaribia kutoka ofisini akaja kunichukua turudi home, ila kwa kuwa nilikuwa na shughuli za hapa na pale ikabidi nimwache ofisini.

Akaitoa memory card yangu, akaiingiza katika card reader na kuanza kurecover datta.......Duh akazikuta picha zote za best yake. Kilichoendelea ni siri yangu ila tu ni kwamba tuwe makini mno na hizi software, kufuta taarifa sio suluhu wakuu kwani bado zinaweza kupatikana, ni hayo tu.
SHKAMOO WHATSAPP....HESHIMA KWAKO DATA RECOVERY
Hivi ww ,hiyo heshima ungekuwa unawapa wakubwa zako na watu wengine ungeishi maisha marefu..!
 
Kupatwa kwa wanaume kwa huu uzi...
Lol..!!!
 
Back
Top Bottom