weee nae muhuni tu yani unamwitaje mwanamke ambae hujamuoa wife na bado unaishi nae geto
May be Aliozeshwa tu without his willing
weee nae muhuni tu yani unamwitaje mwanamke ambae hujamuoa wife na bado unaishi nae geto
Angekubinya na hizo nanii zako ili umwambie shkamoo wife
Aisee, sasa michepuko utaacha?
Yaani mara mia utembee na mtu wa mbali kuliko rafiki yangu,yaani kweli na rafiki yangu ajue nanhii ya mume wangu ni size gani?michepuko sio deal!
Uongo mtupu usio na kichwa wala miguu.
Kwa hiyo umeona sifa sanaa,mdada wa watu anakupenda kumbe wewe huna time naye,nyie wanaume mtabdilika lini jamani,
Mbona mnazidi kututia hofu sie wenye tumaini la.kupata wenza??
yule wa mzumbe ushampiga chini?
yule wa mzumbe ushampiga chini?
Mkeo anakazi sana...hujaonyesha kitendo cha kujutia. Unaisifia software tu
Angekubinya na hizo nanii zako ili umwambie shkamoo wife
Hakuna mijanaume michafu inayokera kama inayotembea na marafiki wa wapenzi/ wake zao
Yaani hawa wanafaa kupigwa tu
ha!ha!haa jamaan yani sijutii bando langu kwa rakha Mujarab kama hizi.Yaambie kabisa yafuate nyayo ya sisi wasafi tunaotafuna mabaamedi.