Shikamoo Whatsap...heshima tele kwa data recovery

Shikamoo Whatsap...heshima tele kwa data recovery

hivi msg za whatsap zina data base nazo? mi nauliza tu....
 
tena! uuuuuuuuwi tena.
"Wife" kaja juzi bana kwa ghafla sana geto usiku maana alikuwa likizo, yeye ni mwanachuo katika chuo kimoja hivi hapa jijini. Basi kwa kujua nina conversation na picha za sisizo na maadili za best yake katika simu yangu nikawa mkali mno na simu yangu. lakini baada ya kuona sitaweza njia hii kwa muda mrefu, nikaamua kudelete kila kitu hadi conversation na kijifanya sijui lolte.

Khe kumbe kuna kitu kinaitwa data recovery kimwekwa katika kompyuta yangu ya ofisini kwa kuwa walipiga chini window ili nijaribu kurecover mafile ambayo nadhani nilikuwa bado nayahitaji. "Wife" kama kawaida mida nakaribia kutoka ofisini akaja kunichukua turudi home, ila kwa kuwa nilikuwa na shughuli za hapa na pale ikabidi nimwache ofisini.

Akaitoa memory card yangu, akaiingiza katika card reader na kuanza kurecover datta.......Duh akazikuta picha zote za best yake. Kilichoendelea ni siri yangu ila tu ni kwamba tuwe makini mno na hizi software, kufuta taarifa sio suluhu wakuu kwani bado zinaweza kupatikana, ni hayo tu.
SHKAMOO WHATSAPP....HESHIMA KWAKO DATA RECOVERY
Mungu ni Mungu tuu
 
Back
Top Bottom