Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
- Thread starter
-
- #21
Mkuu Kigogo,Suzzy alishaondoka yupo mwingine, Chezea Tentemente la MAMA SHUGHULI!Fred usitufanye hivyooo. Chimbo letu.Aaaah suzi weeeeeeee..wapi wali nazi,,,,,mbona ntakufa na kiu ya taska mie mtoto wa kihehe....fred usitufanyiemhivi bana watu tumewekeza hapo....
alafu wewe nimekumis kweli kweli!!!!!!!!!heri ya pasaka dalaliiiiii
Mkuu Kigogo,Suzzy alishaondoka yupo mwingine, Chezea Tentemente la MAMA SHUGHULI!Fred usitufanye hivyooo. Chimbo letu.
Baa maarufu ya aina yake ambayo inazo sifa Lukuki za matukio yanafanywa na wateja wake IMEFUNGWA, matukio hayo kama ya Umalaya,Ushoga na mengine lukuki yakiwemo ya watu kutoa Bastola na kupiga risasi hewani endapo mtu amefurahi ama kukasirishwa na mteja mwenzake,ama amedharauliwa kwa namna yoyote ile.
Baa hiyo ambao hukesha na kufanya majirani ambao wamekuwa wakijaribu kuifunga/kuipiga vita kugonga mwamba kila wakati.
SABABU ZA KUFUNGWA!
siku ya Jumamosi kuamkia Pasaka kijana Rajabu (Chapombe) aishie jirani na hapo PUA NA MDOMO aligombana na kijana mwingine akaae jirani na hapo ugomvi huo ulitokea usiku wa manane ulimsababisha kijana (Rajab) kujeruhiwa vibaya maeneo ya mbavu na kupelekea kupelekwa Hospital ambapo alifariki dunia Jumatatu ya Pasaka,Dada wa Marehemu ambaye ana wadhifa Serikalini (Jina linahifadhiwa) alighadhabishwa sana na tukio hilo na kuamuru Mkurugenzi wake Felix (Fix),Meneja wawekwe Mabatini Kiitonyama Police na kupelekea Baa hiyo kufungwa.
HALI ILIVYO SASA.
Nyumba yenye Msiba imeweka Maturbai mpaka kwenye Baa hiyo na kupelekea hisia yanaweza kuwekwa hivyo wiki mbili ili kuhakikisha kila mteja anaye kwenda hapo KUTAHARUKI.
Pole wafiwa,Pole wamiliki kwani lili
kuwa chimbo la Walevi wengi.
...ngoja nikaonane na mchungaji..
Sinza kwa Remmy nyuma ya B- Bar... patamu sana... Kama wapenda Sheesha ipo kila Flava.Ipo sehemu gani sinza aisee?
Shikamoo pesa na Marahaba zote kwa wasio zifahamu zipo Sinza White Inn opposite na club ya DeFrancee
Sorry imefungwa lini? I like Shikamoo Pesa because its a pay n peak lol!Kiushabiki au kihuzuni? Wangapi ambao Baa zao kumetokea Mauaji lakini HAWAJAKAMATWA tena ya Mtu kufia Bar!
Weka facts Baa ipi? sio una-taja maeneo hata Manzese kuna za ukweli kuliko za ulipopataja CHEDHEA SAVANNAH ya TIP TOP?Mukuje viwanja vya wastaarabu Mbezi beach, Mikocheni, Msasani & Masaki muone waungwana wanavyopata kiustaarabu.Ukileta za kuleta kila mtu na yake yena kali kuliko kitoy chako, ukitukana watu unatumiwa nyuki wakufuatilie kimyakimya.
subiri chuo kiishe unataka uoe mbumbumbu dalaliiiiiiiiNimekumiss pia dalali. Dalali unaniangusha dalali
Sorry imefungwa lini? I like Shikamoo Pesa because its a pay n peak lol!
Duuuuh... Nipe Mkono nikuvushe barabara.Shikamoo pesa na Marahaba zote kwa wasio zifahamu zipo Sinza White Inn opposite na club ya DeFrancee
Shikamoo pesa na Marahaba zote kwa wasio zifahamu zipo Sinza White Inn opposite na club ya DeFrancee