Shikamoo makeups

Shikamoo makeups

Yani kumbe behind ze camera wanakuwaga hivi!!!???
 
Hiyo umenikumbusha Camera ya HTC DESIRE EYE kuna jamaa yangu alitaka kuniuzia nikashindwa bei, sasa nilipojaribu Camera ya mbele nikatokea mrembo wakati mimi ni ME nilichukia siku hiyo!! Asikwambie mtu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nyie wanaume ndio mnaotufanya tuhangaike hivyo!! ukibakia origino unakosa soko. Wanawake wanajitahidi waendane na dimandi yenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom