Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,111
mnanifukuza katika forum? yenu ts mean am mwanaharamu?
mie hata! sijasema hivyo!
mnanifukuza katika forum? yenu ts mean am mwanaharamu?
hii ni habari mbaya kwangu history ya maisha yangu ndiyo inayo nifanya nisiamini mtu duniani.mnanifukuza katika forum? yenu ts mean am mwanaharamu?
waswahili husema funika kombe...
nimekugongea na ka'like, mie ni mjomba wako, sawa?nami nitakuwepo hapa kwa kuibia ibia muda kwa muda huu napenda nisiishi kama orphans i should to have mama na baba watakao nilea vyema hapa chit-chat pia
aunt na uncle watakao kuwa wananipeleka shule.
ooh thanks watu8 kama ni hivyo mie sio mgeni but ni mgeni hapa www.jamiiforums.com zipo forums nyigi sana ambazo mie huwa nakutana na rafiki zangu tuna share.
hii ni moja ya forum nitokako Friends and Family Forum - Powered by vBulletin karibu watu8
mnanifukuza katika forum? yenu ts mean am mwanaharamu?
hii ni habari mbaya kwangu history ya maisha yangu ndiyo inayo nifanya nisiamini mtu duniani.
soma maada yangu vyema::::::::
nami nitakuwepo hapa kwa kuibia ibia muda kwa muda huu napenda nisiishi kama orphans i should to have mama na baba watakao nilea vyema hapa chit-chat pia
aunt na uncle watakao kuwa wananipeleka shule.
baada ya hapo nenda katika forum ambayo natoka
Friends and Family Forum - Powered by vBulletin
then ask me
kama nawauzi kuwa humu kwenu :wave::wave::wave:
nakupenda sana anko hiyo ni like yangu ya kwanza nitaiheshimu sana hata baba manoah nita mwambia
worry out my jomba
Wamekufanyaje mwanangu tena mbona unanishtua mie

mgeni mwenye kutambua kila lifanyikalo CC...wageni wa zamani hata kumention ilikua kizungumkuti...kwa mara nyingine karibu!!
Then mimiwaswahili husema funika kombe...
mnanifukuza katika forum? yenu ts mean am mwanaharamu?
thanx daddy