daddy am still young
Roly Royce
Wewe unataka watu wawe ulimbokad!?
Ha ha ha haendi mtu jela hapa. An adult mimi please. Mungi inaelekea Lily Flower yuko mbali sana na wewe, afu nani kakufundisha majungu?
Ultra sound inasema two weeks preg lol!
Yaani si kulamba ndimu tu, morning sickness, vichefu chefu, maembe ndo usiseme.
Unamuonea wivu rijari wangu?
why cant u press LiKe to me ?
Nauza pipi,nauza pipi,pata ofa ya pipi ben10,nunua moja upate 2 bure baby sharifaaa
nami nitakuwepo hapa kwa kuibia ibia muda kwa muda huu napenda nisiishi kama orphans i should to have mama na baba watakao nilea vyema hapa chit-chat pia
aunt na uncle watakao kuwa wananipeleka shule.
Mimi ni muuza pipi maarufu wa mjini jmn
duu! haya malezi mabaya aisee yani hata mie? Ndio tabu ya kuwa na katoto kamoja kama dawa.
mie taongesa veve ingine.
kumlimboka binaadam mwenzio ni vibaya. Tena kwa ajili ya katoto ?
ndio maana unaitwa mnoko. Wewe kuanzia asubuhi mpaka jioni upo na kitoto chako,si kwenye kahawa si kazini wala bar wewe na mwanao. Nipe kazi ya u hausi boy basi.