shikamoni wote

shikamoni wote

familly.jpeg

hii ni familia yote ipo chini ya daddy manoh

Daddy manoah


Anko Filipo

Anti marejesho



brother Mzee wa Rula
 
Last edited by a moderator:
nami nitakuwepo hapa kwa kuibia ibia muda kwa muda huu napenda nisiishi kama orphans i should to have mama na baba watakao nilea vyema hapa chit-chat pia
aunt na uncle watakao kuwa wananipeleka shule.

Usihofu mimi ntakuwa kaka yako wa mama mwingine...
 
Huna adabu wewe kwa wakubwa zako, ngoja nikikushika utajuta kuzaliwa

samahani kwa kutoanza na shikamoo, shkamoo ba'sharifa, naomba umwambie da'@sharifaa kile kitabu cha meet me under the tree sijamaliza kukisoma pia kama anacho cha make it hurry naomba umwambie aniazime ntashukuru sana
 
Yupo kwa bibi yake
samahani kwa kutoanza na shikamoo, shkamoo ba'sharifa, naomba umwambie da'@sharifaa kile kitabu cha meet me under the tree sijamaliza kukisoma pia kama anacho cha make it hurry naomba umwambie aniazime ntashukuru sana
 
nami nitakuwepo hapa kwa kuibia ibia muda kwa muda huu napenda nisiishi kama orphans i should to have mama na baba watakao nilea vyema hapa chit-chat pia
aunt na uncle watakao kuwa wananipeleka shule.

Karibu sana Mpwa wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom