Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,845
Mjini ni mjini tu asikudanganye mtu, Dsm salam ni deal zinauzwa
Ukishaona tu Unasalimiwa kwa adabu na heshima kubwa iwe ni mkubwa au mdogo ujue kuna jambo
Kama ni mwanafunzi atakuomba nauli , kama ni mtu mzima ujue Anataka kukupiga mzinga au anataka umsaidie kitu
Hivi hivi Dsm mtu hakujui, ndo maana mitaa mbalimbali mjini Hapa kuna mabango kabisa yanayosema kuuliza mia 300 kupelekwa mia 500