Shikamo.. ! naomba mia

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,791
Mjini ni mjini tu asikudanganye mtu, Dsm salam ni deal zinauzwa
Ukishaona tu Unasalimiwa kwa adabu na heshima kubwa iwe ni mkubwa au mdogo ujue kuna jambo
Kama ni mwanafunzi atakuomba nauli , kama ni mtu mzima ujue Anataka kukupiga mzinga au anataka umsaidie kitu

Hivi hivi Dsm mtu hakujui, ndo maana mitaa mbalimbali mjini Hapa kuna mabango kabisa yanayosema kuuliza mia 300 kupelekwa mia 500
 
Shkamoo!
Yaani huu mguu wako huu!
Nakuona blaza! Umechana , shavu dodo ninii !
Afu nimekutana na kale kavlana (katoto) kako , unajua kale katoto kako kana akili mtaa mzima huu , hakunaga mtoto wa kumkaribia !
(mtoa misifa hiyo anaitoa huku mijicho kaitumbua kwenye mfuko wako wa gorofani)
Then what next ? Kilichotokea kambi ya jeshi Mbagala/G-mboto!
 
Mada yako nimeielewa ndugu ila naona kama hujaimalizia vizuri. Wazungu husema: 'Your topic has a loose end.
 
Kaka skilini touch hizi vidole vinauma, Please naomba jazia palipopelea tusongeshe
 
Yaani huku mguu wako huu!
Nakuona blaza! Umechana , shavu dodo ninii !
Afu nimekutana na kale kavlana (katoto) kako , unajua kale katoto kako kana akili mtaa mzima huu , hakunaga mtoto wa kumkaribia !
(mtoa misifa hiyo anaitoa huku mijicho kaitumbua kwenye mfuko wako wa gorofani)
Then what next ? Kilichotokea kambi ya jeshi Mbagala/G-mboto!

Bonge la mzinga...aka kirungu hahahaaaaa
 
Kaka skilini touch hizi vidole vinauma, Please naomba jazia palipopelea tusongeshe

Mbona mie sioni pweleo ?
Unajua ukifatilia kila muamala uwe kama watu wapendavyo , kuna siku watatokea watu watayaambia magazeti ,
"Wee muhariri wa Mwananchi/Nipashe/Raia mwema/ Majira/Dimba Magazeti yenu hayajatimia , yana upungufu n.k
Hivi waweze lihadithia soko habari , ukaacha bukheri umelikidhisha ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom