Hi karibuni kuna rafiki yangu mmoja alipotelewa na simu, katika simu hiyo alikuwa amepiga picha na penzi wake ambaye kwa sasa ni mme wake. Sasa wiki mbili zilizopita alipigiwa simu na globalpublisha (Shigongo) kua wanamuhitaji ofisini. Jamaa aliitikia wito akaenda, alipofika akatkua jamaa ana zile picha zote zilizokuwepo kwenye simu iliyoibiwa na pamoja na picha za baadhi ya wasichana akiwa ameziiunganisha na kichwa cha jamaa. Yeye kamwambia atoe TShs 50m au la sivyo atazitoa picha zote gazetini. Jamaa akakataa, wakashusha dau mpaka TShs 4m, bado jamaa akakataa, basi jamaa wakaamua kuoa zile picha katika moja ya magazeti ya globalpublisha kama walivyoziuunganisha. Ndugu wana jamii, naomba tukemee vikati kwa njia isiyo halali inayotumika na globapulisha kutafuta na kuiba simu za watu ili kupata picha za kuuzia magazeti yao.
P
ia tunaomba tumpe huyu jaamaa hatua za kisheria ya kuichukulia global. Jee mke wake si anaweza kusue for demages Mahakamani? Pia hao wasichana waliochukuliwa picha zao na kuunganisha na kicha cha jamaa nao siwanaweza kushitaki global mmoja mmoja? Je jamaa nae sianaweza kushitaki kwe kuchafuliwa jina, kuibiwa simu, kupoteza kazi na usumbufu anaopata mtaani na familia kwa ujumla? Tunaomba ushaurui wa kisheria hapo