Shigongo na globalpublisha havifai

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
805
425
Hi karibuni kuna rafiki yangu mmoja alipotelewa na simu, katika simu hiyo alikuwa amepiga picha na penzi wake ambaye kwa sasa ni mme wake. Sasa wiki mbili zilizopita alipigiwa simu na globalpublisha (Shigongo) kua wanamuhitaji ofisini. Jamaa aliitikia wito akaenda, alipofika akatkua jamaa ana zile picha zote zilizokuwepo kwenye simu iliyoibiwa na pamoja na picha za baadhi ya wasichana akiwa ameziiunganisha na kichwa cha jamaa. Yeye kamwambia atoe TShs 50m au la sivyo atazitoa picha zote gazetini. Jamaa akakataa, wakashusha dau mpaka TShs 4m, bado jamaa akakataa, basi jamaa wakaamua kuoa zile picha katika moja ya magazeti ya globalpublisha kama walivyoziuunganisha. Ndugu wana jamii, naomba tukemee vikati kwa njia isiyo halali inayotumika na globapulisha kutafuta na kuiba simu za watu ili kupata picha za kuuzia magazeti yao.
P
ia tunaomba tumpe huyu jaamaa hatua za kisheria ya kuichukulia global. Jee mke wake si anaweza kusue for demages Mahakamani? Pia hao wasichana waliochukuliwa picha zao na kuunganisha na kicha cha jamaa nao siwanaweza kushitaki global mmoja mmoja? Je jamaa nae sianaweza kushitaki kwe kuchafuliwa jina, kuibiwa simu, kupoteza kazi na usumbufu anaopata mtaani na familia kwa ujumla? Tunaomba ushaurui wa kisheria hapo
 
sasa anamlaumu shingongo wa nini anapiga picha za uchi then anaziacha kwenye simu inamaana alipima risk zote pamoja na hii je siku simu ikiibiwa?
 
Afanye kama Wage alivyomfanyia Jerry Muro. Aende kwa Kova afu afungue mashitaka ya kudaiwa rushwa kwa nguvu!:confused:
 
Wote wawili wanalo la kujibu kwa jamii.yaani global na huyo mwenye picha.
 
Hi karibuni kuna rafiki yangu mmoja alipotelewa na simu, katika simu hiyo alikuwa amepiga picha na penzi wake ambaye kwa sasa ni mme wake. Sasa wiki mbili zilizopita alipigiwa simu na globalpublisha (Shigongo) kua wanamuhitaji ofisini. Jamaa aliitikia wito akaenda, alipofika akatkua jamaa ana zile picha zote zilizokuwepo kwenye simu iliyoibiwa na pamoja na picha za baadhi ya wasichana akiwa ameziiunganisha na kichwa cha jamaa. Yeye kamwambia atoe TShs 50m au la sivyo atazitoa picha zote gazetini. Jamaa akakataa, wakashusha dau mpaka TShs 4m, bado jamaa akakataa, basi jamaa wakaamua kuoa zile picha katika moja ya magazeti ya globalpublisha kama walivyoziuunganisha. Ndugu wana jamii, naomba tukemee vikati kwa njia isiyo halali inayotumika na globapulisha kutafuta na kuiba simu za watu ili kupata picha za kuuzia magazeti yao.
P
ia tunaomba tumpe huyu jaamaa hatua za kisheria ya kuichukulia global. Jee mke wake si anaweza kusue for demages Mahakamani? Pia hao wasichana waliochukuliwa picha zao na kuunganisha na kicha cha jamaa nao siwanaweza kushitaki global mmoja mmoja? Je jamaa nae sianaweza kushitaki kwe kuchafuliwa jina, kuibiwa simu, kupoteza kazi na usumbufu anaopata mtaani na familia kwa ujumla? Tunaomba ushaurui wa kisheria hapo
wewe upo subjective ukitaka kuwa objective na huyo jamaa yako anamakosa ni kwanini afanye mapenzi na vitoto vidogo tena alikuwa anatumia kivuli cha kufanya kazi zain kwamba atavitafutia kazi huo ni umajinuni anapaswa kukemewa na KUFUNGWA
 
Swala sio la kupiga picha za uchi, jamaa alichofanya baadhi ya picha aliunganisha vichwa. Pia simu iliibiwa. Tatu je kuna uhalali wowote wa mtu kutafuta picha yako hata kama hauko uchi aichapishe kwenye gazeti na kukuandikia habari ya uongo? Nadhani tufike mahali tukemee tabia hii. Ujua siku moja hata wewe mtua kipata picha yako ya passport size anao uwezo wa kuunganisha na picha nyingine electronically na akaktoa akauza gazeti. Cha msingi usimtetee. Mbona alipoambiwa atoe hela hujapazungumzia?
 
Dah hii kali tena.
Kwa hiyo jamaa ako anauhusiano gani na hivyo vibinti vingine?
 
kwanza huwa sisomi vigazeti vya udaku maana mwishoe vinakuacha na hasira.......
ila jamaa ni mpuuzi kwa sababu alipaswa kuripoti tishio hilo la kuombwa rushwa kwa TAKUKURU mapema baada yakuelezwa kusudio lao la kutaka kupewa 40M. hiyo ingewazua global kuchapa hizo picha gazetini vilevile angetoa funzo kwa wadaku wengine kina kiu kuwa hiyo ni tabia Mbaya......
sasa kuja kutueleza leo kuwa aliombwa rushwa haina mashiko maana tunaona ni kama kelele za mfa maji.
 
sasa anamlaumu shingongo wa nini anapiga picha za uchi then anaziacha kwenye simu inamaana alipima risk zote pamoja na hii je siku simu ikiibiwa?
kazi kweli, ila hapo shigongo anamakosa...
tuwekeeni hizo picha nasisis tusafishe macho basi!
 
Shigongo mara nyingine huwa hajengi.Kwa mfano kuna katoto kamoja cha SAUT aliwahi kukaandama as if kmeua mtu. Ni kweli kupiga picha za uchi ni kosa. Nia ni kusaidia mtu abadilike, na sio kumuharibu yeye na maisha yake kwa ajiri ya vijisent vichache vya leo na kesho. Hivi yeye na watu wake wa global publishers ni safi na wana maadili kiasi hicho?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom