Shida ya wanaume humu ni hii

Shida ya wanaume humu ni hii

Mzee baba sisemi hivyo kama unachowaza wewe ila kipo ndani ya maisha yangu ndio maana nimesema hivyo mimi nina kipato Cha kawaida demu aliniomba niishi nae binafsi nikawa honest Sana kwake nikamuweleza uhalisia wa maisha pamoja na yote demu akaniambia usiwe na wasiwasi kwakuwa nakupenda na mimi nina kazi yangu nitaishi na wewe no matter what tangu siku hiyo tuna zaidi ya mwaka kwenye mahusiano yetu na ni mwanamke mzuri Sana akipita hiv lazima ugeuke so nakataa kwamba wanawake wote wanapenda wawe wanaongopewa inategemea na nani unakutana nae kuna wengine hawapendi uwe muongo

Haijalishi ni lini au utapita muda gani lazima utapigwa tukio,time will tell us
 
Pole sana mtoa mada,wajuba sio watu wazuri kabisa wamekufumuafua kisha wameingia mitini
Weweee ukweli siwezi sema ila ngoja niseme naaapa humu sijaliwaga kifala fala namtu namuheshimu nanimerishika naye kitu fireeee hatareee
 
Na Mimi naomba mnifikirie wadada wa Jf am an humble african sina mambo meengi.pm yangu bado bikra.. yu know naamanisha nn?
 
Ndoa ipi walionazo wanapumulia gesi tu nafuu hao watoto ambao hawakui.
Nafuu hata wangejiweza hawana nguvu za kiume eti nani anataka ndoa humu walahi sisi tunahitaji kitu kimoja michoro tu ngoja niseme ukweli leo mimi natabia zakuchora wanaume tokea uume wao hadi tabia ili ujue kitu mimi nikishakula chakula mahali sirudii tena ile sahani.

Umeelewa usijichanganye
Ni research?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom