Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,352
- Thread starter
- #161
Sio wote bali asilimia kubwa hawana helaHuku wamejaa wadonoaji tu
Sio wote bali asilimia kubwa hawana helaHuku wamejaa wadonoaji tu
Mxiuu arusha na dar wapi na wapi.Kudadadek yaan mim kuja kukupokea na bajaj stend ndo uje kunismanga huku kwel!!!
Hayaa umeshajua naish chumba kimoja' uswahilin ndo uje kunisimanga why!!!!!!
Nilijipma siku ile nikaacha vumbi la zaire nikaishia kota nane!!! ndo uje uanike madhaif yangu huku jukwaan...
Mods please.,....futen uz!!![]()
Mlangoo upi??Mjusi kabanwana mlango
Masahibu gani yamekukuta bibie mpaka utoe povu hivyo? Ushauri wangu naomba u relax na sahau yaliyopita.Mtu anakaa single kisa avatar yake.
Mtu anaweka fisi anayehema sijui mwingine mjusi aliyebanwa mlango sasa wewe kama upo serious kwanini usiweke bendera ya Tanzania hata ziwa victoria.
Niambie tu upo serious na mwanamke halafu unamadharau. Huna maneno mazuri unatukanatukana watu hii imekaaje sema tu.
Acheni ushoia bwana mwanaume raha mwanaume heshima, humu tumezeeka wote stress hatutaki. Kama unataka uoe Mkenya jua Mkenya atakubinya hiyo dudu yako ataikata aile kama soseji.
Walahi wanajf hasa wanaume mnakera, kwanza waongo pili mnajidai mwanamke awe na hekima ipi wakati wewe hujitambui unataka nini.
Unaonekana huwezi inshu tu na umefulia kwa sababu ngekuwa una weza mambo usingekimbia shoo.
Kuna watu humu wanasemaga ukweli tunaandikiana tu na kunyamaza. Humu wengi hamna nguvu za kiume na hela mnadunduliza mnazo.
Hatuwadharau ila jirekebisheni, kama umeoa sema nimeoa babe. Upewe ya kirafiki sio mtoto analia unadai nitakupigia nipo hospitali. Makelele sana hadi lini.
Wazungu ndio dili tu humu mmechanganywa na malimbwata.
Kama umeshindwa kusimamia shoo wewe kaa kimya halafu muone haya basii.
Hata mtoe vifutio jashooo.
Sina shida walaMasahibu gani yamekukuta bibie mpaka utoe povu hivyo? Ushauri wangu naomba u relax na sahau yaliyopita.
Kweli anafaidi sana ila siokwa mparange nikushikaEeh kumbe una tako...dah shem anafaidi jamani....😝
hahahahahaKweli anafaidi sana ila siokwa mparange nikushika
Ah kupapasa tako na kilichapachapa raha sana....itakuwa anakuweka san style ya mbuzi kagoma kwendaKweli anafaidi sana ila siokwa mparange nikushika
Ndiyo kufaidi kumeisha sababu ya kutumia bila kugharamikiaEeh kumbe una tako...dah shem anafaidi jamani....![]()

Tunawekana sawa mambo madogo kama haya shida ya wengi humu wanaendeshwa na mihemko na wengine ni malimbukeni wa mapenzi ndio maana vitu vingi hawavijui kutokana na kukiss experience ya mahusianoNikweli mwaya kama ungekuwa karibu ningekupa big BIG UP MY DEAR .
Yan kwamba unaona cha ajabu au!?Hivi humu kuna watu mnakutana ukweli na mahusiano kabisa. Kweli akili ni nywele![]()
Jamaa sijui anashangaa nini kwasababu Jf ni kama mitandao mingine ina Wanaume na wanawake so kukutana watu kimauhusiano sio jambo lakushangaza ingawa binafsi sijawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yoyote wa humu JfYan kwamba unaona cha ajabu au!?
Nimefanyaje??Wa kukoma ni mleta uzi sio sisi
Ndoa ipi walionazo wanapumulia gesi tu nafuu hao watoto ambao hawakui.Usipanic mpenz ....ukitaka wa kukuoa humu ndani utaumia....humu wengi wanandoa zao na wengine ni watoto bado muda wa kuoa.Humu tafuta wa kukupunguzia hamu maisha yaendelee....USIJE ITAKA HARUSI KWA PUPA by Kassim
Mtu anakaa single kisa avatar yake.
Mtu anaweka fisi anayehema sijui mwingine mjusi aliyebanwa mlango sasa wewe kama upo serious kwanini usiweke bendera ya Tanzania hata ziwa victoria.
Niambie tu upo serious na mwanamke halafu unamadharau. Huna maneno mazuri unatukanatukana watu hii imekaaje sema tu.
Acheni ushoia bwana mwanaume raha mwanaume heshima, humu tumezeeka wote stress hatutaki. Kama unataka uoe Mkenya jua Mkenya atakubinya hiyo dudu yako ataikata aile kama soseji.
Walahi wanajf hasa wanaume mnakera, kwanza waongo pili mnajidai mwanamke awe na hekima ipi wakati wewe hujitambui unataka nini.
Unaonekana huwezi inshu tu na umefulia kwa sababu ngekuwa una weza mambo usingekimbia shoo.
Kuna watu humu wanasemaga ukweli tunaandikiana tu na kunyamaza. Humu wengi hamna nguvu za kiume na hela mnadunduliza mnazo.
Hatuwadharau ila jirekebisheni, kama umeoa sema nimeoa babe. Upewe ya kirafiki sio mtoto analia unadai nitakupigia nipo hospitali. Makelele sana hadi lini.
Wazungu ndio dili tu humu mmechanganywa na malimbwata.
Kama umeshindwa kusimamia shoo wewe kaa kimya halafu muone haya basii.
Hata mtoe vifutio jashooo.

nimecheka hapo eti mtoto analia anakwambia nipo hospital baadae ntakucheki