Shida ya wanaume humu ni hii

Shida ya wanaume humu ni hii

Jmn mnatomb.a bure.

Mnakopa K

Na bado nauli mnatoa 650 yamwendokasi!!!

Hlf humu mnadanganya wadada mna maisha mazuri mpk wanafungua uzi wa kutafuta mume!!! Sio vzr wadogo zangu
 
Mtu anakaa single kisa avatar yake.
Mtu anaweka fisi anayehema sijui mwingine mjusi aliyebanwa mlango sasa wewe kama upo serious kwanini usiweke bendera ya Tanzania hata ziwa victoria.

Niambie tu upo serious na mwanamke halafu unamadharau. Huna maneno mazuri unatukanatukana watu hii imekaaje sema tu.

Acheni ushoia bwana mwanaume raha mwanaume heshima, humu tumezeeka wote stress hatutaki. Kama unataka uoe Mkenya jua Mkenya atakubinya hiyo dudu yako ataikata aile kama soseji.

Walahi wanajf hasa wanaume mnakera, kwanza waongo pili mnajidai mwanamke awe na hekima ipi wakati wewe hujitambui unataka nini.

Unaonekana huwezi inshu tu na umefulia kwa sababu ngekuwa una weza mambo usingekimbia shoo.

Kuna watu humu wanasemaga ukweli tunaandikiana tu na kunyamaza. Humu wengi hamna nguvu za kiume na hela mnadunduliza mnazo.

Hatuwadharau ila jirekebisheni, kama umeoa sema nimeoa babe. Upewe ya kirafiki sio mtoto analia unadai nitakupigia nipo hospitali. Makelele sana hadi lini.

Wazungu ndio dili tu humu mmechanganywa na malimbwata.
Kama umeshindwa kusimamia shoo wewe kaa kimya halafu muone haya basii.

Hata mtoe vifutio jashooo.
Vyuma vimeumana
 
Khaaah una balaa ww....... Kama huko hvo basi unachapiwa sana.... Pole sana mkuu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Jichanganye. Anaepiga tako mbili afu wazungu hawa itakua labda la.kwanza halichelewi kesha nae. Ila tako 2 tu mmmhh maajabu au hiyo ni balaa. Ila kikubwa mtu kamwaga uji wale🤣🤣🤣
 
Kuchapiwa ni uzembe wa mwanaume.... Kama mtu anasema anafanya kujidhilisha yeye unadhani ataacha kuchapiwa... Tena huyo anachapiwa mpaka pua

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mpaka pua tena😲😲😲 kumbe kuna wanawake pua zao zinagegedwa
Kuchapiwa utachapiwa tuu maana wanawake nao wanapenda onja onja na wachapaji wazuri wa mbususu ndio hao tall dark and handsome ambao hawajali ukitom.bwa na wengine
 
Cool down .....
????????????.....
With whom?
Sikia humu ndani no body anaweza kunipa stress nikamuwaza mimi nobody kuna watu humu wanapost post zao za kwamba wameumizwa na wanaume wa humu thats why nawachamba sasa sio mimi mwaya nilipo nikitaka marriage ni fasta so hatA niwe na ngapi???
So weweee humu naheshimugi mmoja tu wengine nope.
Haya ndg.
 
Siwezi kua na malengo ya kiasi hicho na mwanamke.
Kama kuoa itatokea tu wala siwezi kua na mwanamke kwa mategemeo makubwa.
Tunaishi mara moja, kwanini nitafute maumivu kwa gharama.
Kama hautajali unaweza kunitajia umri wako yaani upo kwenye 20s, 30s au 40s?
 
S O N O N A

Ndugu yetu mleta uzi asaidiwe haraka kabla tatizo halijawa kubwa.
 
Mtu anakaa single kisa avatar yake.
Mtu anaweka fisi anayehema sijui mwingine mjusi aliyebanwa mlango sasa wewe kama upo serious kwanini usiweke bendera ya Tanzania hata ziwa victoria.

Niambie tu upo serious na mwanamke halafu unamadharau. Huna maneno mazuri unatukanatukana watu hii imekaaje sema tu.

Acheni ushoia bwana mwanaume raha mwanaume heshima, humu tumezeeka wote stress hatutaki. Kama unataka uoe Mkenya jua Mkenya atakubinya hiyo dudu yako ataikata aile kama soseji.

Walahi wanajf hasa wanaume mnakera, kwanza waongo pili mnajidai mwanamke awe na hekima ipi wakati wewe hujitambui unataka nini.

Unaonekana huwezi inshu tu na umefulia kwa sababu ngekuwa una weza mambo usingekimbia shoo.

Kuna watu humu wanasemaga ukweli tunaandikiana tu na kunyamaza. Humu wengi hamna nguvu za kiume na hela mnadunduliza mnazo.

Hatuwadharau ila jirekebisheni, kama umeoa sema nimeoa babe. Upewe ya kirafiki sio mtoto analia unadai nitakupigia nipo hospitali. Makelele sana hadi lini.

Wazungu ndio dili tu humu mmechanganywa na malimbwata.
Kama umeshindwa kusimamia shoo wewe kaa kimya halafu muone haya basii.

Hata mtoe vifutio jashooo.
Pole!
 
Na amevurugwa kisawasawa 🤣🤣🤣🤣 anasema anamuheshimu m1 tu humu jf wengine anatuona nnya! Pole mtoa mada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom