Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,598
- 44,423
Shida nini ndgu?
Uzi wako naona hauna mpangilio, umeandika km unakimbizwa.
Relax then andika kwa tuo, sawa umepigwa na kitu kizito basi tueleweshe tukupe pole.