Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,352
- Thread starter
- #181
Weee usisingizie mbona wamasai wananukaga wale waporini kisa maji ndio shida hapo zamani .Nguvu ya mwanaume inategemea na mwanamke mwenyewe!
Mfano unanuka mdomo na k, nguvu zittoka wapi?
Halafu bado wanaliwa nawanazaa tu fresh .
Ila kuna ukweli nilikuwa na rafiki yangu ananuka hadi kero hadi unakosa hamu ya kula .
Sijui mume wake anafanyegeje

