Shibuda si riziki CHADEMA

Shibuda si riziki CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Kinachonishangaza ni kuona ni jinsi gani chama kinavyozidi kujitanua nchini ndivyo mawe ya kuangusha maembe yanavyorushwa. Laiti ungekuwa uongozi wa CDM ni mbaya kihivyo ni wazi watanzania wasingejiunga. Kuhusu ukabila n.k. ni majungu tu. Naimani msajili angeshakifuta kama hizo element zipo. Uzoefu unaonyesha ndani ya uongozi wa mbowe, chama kimekuwa kikikua kwa kasi. Sasa kama wanachama wanaridhika na maendeleo ya chama, Hawa waropokaji ni wazi watakuwa ni mamluki tu.
Z
Mbowe angekuwa wa hivyo ikiwa chadema kingekuwa kinadhohofu.
Watanzania wenye nia njema wanajua gharama kiasi gani imechukuliwa kiunda upinzani huu wenye nguvu nchini.
Hizi tabia ya kutaka kuharibu ndoto naimani sio za wanachadema damu. Itakuwa ni hawa mapandikizi.
Sitasahau wale madiwani waliodanganywa kupewa ukuu wa mkoa ikiwa waakichafua chadema.wakatoswa na ccm walipojitoa CDM. Wakaja kuomba radhi na kukiri mkakati huo ulivyosukwa na chama dola.
Kwa nchini kama yetu. Itatuchukua miaka minvi kirudisha imani ya watanzania kwa upinzani ikiwa wataharibu hapa. Manake wanakila mtaalamu ndani ya chama.
 
Madaha John-with-Victor Mbonicaand-48 others

3 hrs-·-

Mpendwa soma hii Habari.

Kwa mara nyingi tena mbunge wa maswa mashariki mhe. John M. Shibuda amesema ninawaomba chadema wanifukuze na mimi kwenye chama cha mzee Edwin mtei nawaomba wafanye hivyo.

Mhe. John shibuda amesema sijawahi kuona katika maisha yangu ya siasa kuona katiba mbovu ya chadema katiba hiyo ni katiba ya familia ya mzee Edwin Mtei na baba mkwe wake freman mbowe.

Mhe. John shibuda amesema wakati naingia chadema sikuisoma vizr katiba ya chama hicho niliisoma tayari nimeshakuwa mbunge baada ya kuisoma katiba ya chadema niliichana na kuchoma moto-

Mhe. Shibuda amesema nilishangaa sana kuona chama hicho kinamilikiwa na familia ya mzee edwin Mtei na mbowe aliyemuoa mtoto wa mzee Mtei mbowe yuko kwa kulinda masilahi ya familia hiyo kwa gharama yeyote.

Mhe. John shibuda amesema baada ya kuona katiba hiyo iko hivyo niliidharau sana katiba hiyo chadema ni chama cha familia ya mzee mtei pia chama cha kikabila asilimia 85 ya Ruzuku inaenda kwenye familia ya Mtei.

Mhe. John shibuda anesema chama hicho sio chama ni chama cha kuweka na kukopa SACCOS hata yalipo sasa makao makuu ya chadema kinondoni nyumba waliyopanga ni nyumba ya mzee Mtei.

Mhe. John shibuda amesema malipo yote ya pango yanaingia kwenya akaunti ya mzee Mtei kila mwisho wa mwezi baadhi ya wanachama hawajui wamevikwa blaketi ni aibu aibu sana.

Mhe. John shibuda amesema hata rafiki yangu Mhe. Zitto kabwe alipotangaza kugombea urai mwaka jana alifuatwa na mumiliki wa chama hicho mzee mtei aliambiwa aache kugombea urais amwachie tena Dk. Slaa.

Mhe. John shibuda amesema hata mhe. Zitto kabwe alipotaka kugombea umwenyekiti wa chadema aliambiwa msaliti wa chama ndio matatizo yaliapoanzia hadi amefukuzwa ndani ya chama kwa kuitwa msaliti.

Mhe. John shibuda amesema tangu chadema ianzishwe na mzee mtei aliyeshika nafasi ya umwenyekiti ni mmoja tu mzee Bob makani hakuna mwingine tena aliyewahi kuwa mwenyekiti ni aibu aibu.

Mhe. John shibuda amesema tangu mzee Mtei akianzishe chama waliowahi kushika nafasi ya mwenyeki ni hao hapo chini-

Angalia hapa chini.

1992-1998 mwenyekiti - edwin Mtei
1998-2003 mwenyekiti -Bob Makani-
2003-2008 mwenyekiti - Freeman mbowe
2009-2014 mwenyekiti - Freeman Mbowe
2015 -2020 mwenyekiti -freeman Mbowe

Mhe. John shibuda amesema uwiano huo unafuatiwa na mhe. Ibrahim Lipumba vinala wa UKAWA hali hiyo ni hatari sana siku ikifika nitawaambia watanzania jinsi chadema ilivyo.

Mhe. John shibuda amesema safari hii tutawakimbiza mchaka mchaka mpaka watanzania wajue ni chama cha ovyo hakifai kuongoza Dola hivi tangu lini chama cha kuweka na kukopa SACCOS kikaongoza nchi ?-

Mhe. John shibuda amesema chama hicho kinaongoza kwa maadamano hakina sera yeyote.

Mhe. John shibuda amesema mumiliki mkuu wa chama hicho ni mzee Mtei huyo hapo chini na baba mkwe wake wako pamoja mbowe ni mlopokaji hana hana uwezo wa kuwa kiongozi-
Asanteni sana-
John Magalle . Shibuda.

kama amesema hivyo. Mimi namshauri Kama ameona Chadema katiba yao mbovu,chama cha wachaga,cjui haiwezi kuongoza. Swali dogo tu KWANINI MPAKA LEO YUPO CHADEMA???? KWANINI ASIJIONDOE KWENYE CHAMA CHA MTEI, CHAMA CHA MBOWE, CHAMA CHA WACHAGA????
ANASUBIRI NINI AMEKAA MIAKA KARIBU MITANO, ANASUBIRI NINI???? KWANINI ASUBIRI MPAKA AFUKUZWE?????? ONDOKA MWENYEWE.

ONYESHA MFANO WA MPENDAZOE ALIPOCHOKA NDANI YA CCM AKUSUBIRI AFUKUZWE ALIAMUA MWENYEWE TENA ALIACHA MAFAO YAKE ZIKIWA ZIMEBAKI VIKAO VITATU TUU, BUNGE KUVUNJWA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2010.

Shibuda yupo Chadema anaipenda Chadema aache longo longo ya kuwahadaa wasioelewa. Kama ni Ivyo tuseme Shibuda anatamaa na Ni fisadi zaidi ya wazee ESCROW.

SHIBUDA ACHA TAMAA ACHIA NGAZI LEO

KAMA SHIBUDA UNAJIAMINI TANGAZA KESHO KUWA WEWE SHIBUDA KUANZIA LEO TAREHE 14/03/2015 NAACHANA NA CHAMA CHA WACHAGA, CHAMA CHA UKOO, CHAMA CHA MBOWE.

KAMA KWELI SHIBUDA WEWE NI MWANAUME KWELI LIJALI TANGAZA LEO TUSIKIE
 
Kuna watu ccm kama wangekuwa akili zao kwa ajili ya maendeleo tungekuwa mbali Sana, ila tatizo wanazitumia kwa ajili ya ufisadi na kuua upinzani,sasa hivi chadema ipo kwenye wakati mgumu Sana kwasababu ccm kwanza waimeiweka cd ya zito kabwe, chadema kupitia kwa tundu lisu wameingia kichwa kichwa kumfukuza zitto kabwe,cd inayofuata inabidi ipigwe na chadema kwa kumchukulia hatua shibuda au wamfukuze kutokana na madai anayotoa, ambapo wananchi watahoji kama shibuda madai anayo Toa Ni yauongo kwanini mmefukuza badala kukanusha, lakini ikimwacha chadema ijue shibuda kuanzia sasa yeye anajiandaa kuhama sasa kabla ya kuhama kazi yake kubwa Ni kuukashifu uongozi uliokuwepo ili wananchi wapoteze imani na uwongozi WA wakina mboe na chama kwa ujumla na yeye hadi siku anaamua kuondoka atakuwa amekwisha kichafua chama vya kutosha, kama huamini maneno yangu subiri bunge lianze uone shibuda uone atakavyo ongea.
 
Mungu kawajalia Busara wachache na kawanyima walio wengi.Ukikosa Busara ni hatari zaidi ya kukosa nguo.Viongozi wenye hekima na busara sio type hii.
 
Zitto na wenzake wananikumbusha jinsi Lucifer alivyodanganyika kwa kulewa sifa bila kujua watatolewa paradiso na Mikaeli
 
Nikukumbushe

mtajua muda umeenda chama gani cha kifamilia mtu akitaka kugombea kwa kufata taratibu anafukuzwa hamtatawala milele kabisa
kidumu chama cha mapinduzi chenye usawa na haki kuliko hiki saccos
teh teh, labda usawa na haki kwa mafisadi kama kina ngurumo, chenge, tibaijuka na wenzake!
 
Last edited by a moderator:
Shibuda ni takataka zaidi kuliko zitto mara 1000 hana hadhi ya kufukuzwa kamwe!
 
Hapa ndio inaonyesha uwezo mdogo wa akili wa wanasiasa wetu yaani shibuda baada ya kutupiwa virago na ccm akakimbilia chadema kwa matusi kama haya then akarudi bungeni kwa ticket ya chadema. Leo hata kama chadema ina matatizo huwezi kutamka maneno hayo ukiwa una akili timamu na umri kama wake. Hawa ndio huwa wanawatukana baba zao baada ya kupata degree na kusahau baba ndio aliwaleta duniani ndio wakaweza kusoma.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Malaya wa kisiasa huyu, anajua CHADEMA hana chake sasa lazima atoe kauli chafu kuwafurahisha MACCM na hivyo wampe jimbo 2015 ili aweze kugombea tena.

Hapa ndio inaonyesha uwezo mdogo wa akili wa wanasiasa wetu yaani shibuda baada ya kutupiwa virago na ccm akakimbilia chadema kwa matusi kama haya then akarudi bungeni kwa ticket ya chadema. Leo hata kama chadema ina matatizo huwezi kutamka maneno hayo ukiwa una akili timamu na umri kama wake. Hawa ndio huwa wanawatukana baba zao baada ya kupata degree na kusahau baba ndio aliwaleta duniani ndio wakaweza kusoma.
 
Hii mambo inafanana na simba B.Makapi na wanafiki wa upande ule we unawachukua na kuwaweka kwako.
Km kweli hayo maneno ameyatoa mh shibuda mwenyewe bas hii HAINA VIONGOZI,NA KAMA HAINA VIONGOZ TATIZO NI LA NANI?KM ANAYEKUONGOZA YUPO HVYO JE MUONGOZWAJI YUKOJE?
 
kama amesema hivyo. Mimi namshauri Kama ameona Chadema katiba yao mbovu,chama cha wachaga,cjui haiwezi kuongoza. Swali dogo tu KWANINI MPAKA LEO YUPO CHADEMA???? KWANINI ASIJIONDOE KWENYE CHAMA CHA MTEI, CHAMA CHA MBOWE, CHAMA CHA WACHAGA????
ANASUBIRI NINI AMEKAA MIAKA KARIBU MITANO, ANASUBIRI NINI???? KWANINI ASUBIRI MPAKA AFUKUZWE?????? ONDOKA MWENYEWE.

ONYESHA MFANO WA MPENDAZOE ALIPOCHOKA NDANI YA CCM AKUSUBIRI AFUKUZWE ALIAMUA MWENYEWE TENA ALIACHA MAFAO YAKE ZIKIWA ZIMEBAKI VIKAO VITATU TUU, BUNGE KUVUNJWA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2010.

Shibuda yupo Chadema anaipenda Chadema aache longo longo ya kuwahadaa wasioelewa. Kama ni Ivyo tuseme Shibuda anatamaa na Ni fisadi zaidi ya wazee ESCROW.

SHIBUDA ACHA TAMAA ACHIA NGAZI LEO

KAMA SHIBUDA UNAJIAMINI TANGAZA KESHO KUWA WEWE SHIBUDA KUANZIA LEO TAREHE 14/03/2015 NAACHANA NA CHAMA CHA WACHAGA, CHAMA CHA UKOO, CHAMA CHA MBOWE.

KAMA KWELI SHIBUDA WEWE NI MWANAUME KWELI LIJALI TANGAZA LEO TUSIKIE

Hana lolote. Hawez kufanya hivyo zaidi ya kuleta porojo tu na kutafuta kick za bure na kiurahisi
 
Madaha John-with-Victor Mbonicaand-48 others

3 hrs-·-

Mpendwa soma hii Habari.

Kwa mara nyingi tena mbunge wa maswa mashariki mhe. John M. Shibuda amesema ninawaomba chadema wanifukuze na mimi kwenye chama cha mzee Edwin mtei nawaomba wafanye hivyo.

Mhe. John shibuda amesema sijawahi kuona katika maisha yangu ya siasa kuona katiba mbovu ya chadema katiba hiyo ni katiba ya familia ya mzee Edwin Mtei na baba mkwe wake freman mbowe.

Mhe. John shibuda amesema wakati naingia chadema sikuisoma vizr katiba ya chama hicho niliisoma tayari nimeshakuwa mbunge baada ya kuisoma katiba ya chadema niliichana na kuchoma moto-

Mhe. Shibuda amesema nilishangaa sana kuona chama hicho kinamilikiwa na familia ya mzee edwin Mtei na mbowe aliyemuoa mtoto wa mzee Mtei mbowe yuko kwa kulinda masilahi ya familia hiyo kwa gharama yeyote.

Mhe. John shibuda amesema baada ya kuona katiba hiyo iko hivyo niliidharau sana katiba hiyo chadema ni chama cha familia ya mzee mtei pia chama cha kikabila asilimia 85 ya Ruzuku inaenda kwenye familia ya Mtei.

Mhe. John shibuda anesema chama hicho sio chama ni chama cha kuweka na kukopa SACCOS hata yalipo sasa makao makuu ya chadema kinondoni nyumba waliyopanga ni nyumba ya mzee Mtei.

Mhe. John shibuda amesema malipo yote ya pango yanaingia kwenya akaunti ya mzee Mtei kila mwisho wa mwezi baadhi ya wanachama hawajui wamevikwa blaketi ni aibu aibu sana.

Mhe. John shibuda amesema hata rafiki yangu Mhe. Zitto kabwe alipotangaza kugombea urai mwaka jana alifuatwa na mumiliki wa chama hicho mzee mtei aliambiwa aache kugombea urais amwachie tena Dk. Slaa.

Mhe. John shibuda amesema hata mhe. Zitto kabwe alipotaka kugombea umwenyekiti wa chadema aliambiwa msaliti wa chama ndio matatizo yaliapoanzia hadi amefukuzwa ndani ya chama kwa kuitwa msaliti.

Mhe. John shibuda amesema tangu chadema ianzishwe na mzee mtei aliyeshika nafasi ya umwenyekiti ni mmoja tu mzee Bob makani hakuna mwingine tena aliyewahi kuwa mwenyekiti ni aibu aibu.

Mhe. John shibuda amesema tangu mzee Mtei akianzishe chama waliowahi kushika nafasi ya mwenyeki ni hao hapo chini-

Angalia hapa chini.

1992-1998 mwenyekiti - edwin Mtei
1998-2003 mwenyekiti -Bob Makani-
2003-2008 mwenyekiti - Freeman mbowe
2009-2014 mwenyekiti - Freeman Mbowe
2015 -2020 mwenyekiti -freeman Mbowe

Mhe. John shibuda amesema uwiano huo unafuatiwa na mhe. Ibrahim Lipumba vinala wa UKAWA hali hiyo ni hatari sana siku ikifika nitawaambia watanzania jinsi chadema ilivyo.

Mhe. John shibuda amesema safari hii tutawakimbiza mchaka mchaka mpaka watanzania wajue ni chama cha ovyo hakifai kuongoza Dola hivi tangu lini chama cha kuweka na kukopa SACCOS kikaongoza nchi ?-

Mhe. John shibuda amesema chama hicho kinaongoza kwa maadamano hakina sera yeyote.

Mhe. John shibuda amesema mumiliki mkuu wa chama hicho ni mzee Mtei huyo hapo chini na baba mkwe wake wako pamoja mbowe ni mlopokaji hana hana uwezo wa kuwa kiongozi-
Asanteni sana-
John Magalle . Shibuda.

Lisemwalo lipo kama halipo linakuja, wait and see
 
Wenye akili za kipunguani ndivyo walivyo. Sasa kama yeye haikubali CHADEMA na kuona ni chama cha kifamilia kwanini asubiri kufukuzwa badala ya kuondoka mwenyewe!? Kama huu si upunguani sijui ni kitu gani. Chama hukikubali lakini bado unaingia Bungeni kupitia jimbo ulilogombea kama mwanachama wa CHADEMA. Si abwage manyanga na kusema hadharani kwamba yeye si mbunge wa CHADEMA hivyo apoteze Ubunge wake!? Hana uthubutu wa kufanya hivyo huyu mganga njaa anasubiri kiinua mgongo chake cha 75 million akajipitishepitishe tena kwa MACCM wampe jimbo kwa miaka mingine mitano.

Hana lolote. Hawez kufanya hivyo zaidi ya kuleta porojo tu na kutafuta kick za bure na kiurahisi
 
Shibuda ni sawa na Nabii wa uongo atakayekamatwa na kutupwa hai katika Ziwa la Moto milele pamoja Mnyama yule ktk Ufunuo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom