Shibuda si riziki CHADEMA

Shibuda si riziki CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Watu wenye upeo mdogo wa kufikiri wanaweza kuzodoa ujumbe huu... Ila una umuhimu sana kwa wanaojua maslahi ya taifa ni nini.... Kama ni shibuda aliyesema haya ama la......lakini mwisho wa siku uzito na umuhimu wake ni zaidi ya saccos yao.......... Wenye akili wanalifahamu hili vizuri sana, muwasaidie vipofu wa ubongo kuliona hili......


kwa mara nyingi tena mbunge wa maswa mashariki mhe. John m. Shibuda amesema ninawaomba chadema wanifukuze na mimi kwenye chama cha mzee edwin mtei nawaomba wafanye hivyo.

Mhe. John shibuda amesema sijawahi kuona katika maisha yangu ya siasa kuona katiba mbovu ya chadema katiba hiyo ni katiba ya familia ya mzee edwin mtei na baba mkwe wake freman mbowe.

Mhe. John shibuda amesema wakati naingia chadema sikuisoma vizr katiba ya chama hicho niliisoma tayari nimeshakuwa mbunge baada ya kuisoma katiba ya chadema niliichana na kuchoma moto-

mhe. Shibuda amesema nilishangaa sana kuona chama hicho kinamilikiwa na familia ya mzee edwin mtei na mbowe aliyemuoa mtoto wa mzee mtei mbowe yuko kwa kulinda masilahi ya familia hiyo kwa gharama yeyote.

Mhe. John shibuda amesema baada ya kuona katiba hiyo iko hivyo niliidharau sana katiba hiyo chadema ni chama cha familia ya mzee mtei pia chama cha kikabila asilimia 85 ya ruzuku inaenda kwenye familia ya mtei.

Mhe. John shibuda anesema chama hicho sio chama ni chama cha kuweka na kukopa saccos hata yalipo sasa makao makuu ya chadema kinondoni nyumba waliyopanga ni nyumba ya mzee mtei.

Mhe. John shibuda amesema malipo yote ya pango yanaingia kwenya akaunti ya mzee mtei kila mwisho wa mwezi baadhi ya wanachama hawajui wamevikwa blaketi ni aibu aibu sana.

Mhe. John shibuda amesema hata rafiki yangu mhe. Zitto kabwe alipotangaza kugombea urai mwaka jana alifuatwa na mumiliki wa chama hicho mzee mtei aliambiwa aache kugombea urais amwachie tena dk. Slaa.

Mhe. John shibuda amesema hata mhe. Zitto kabwe alipotaka kugombea umwenyekiti wa chadema aliambiwa msaliti wa chama ndio matatizo yaliapoanzia hadi amefukuzwa ndani ya chama kwa kuitwa msaliti.

Mhe. John shibuda amesema tangu chadema ianzishwe na mzee mtei aliyeshika nafasi ya umwenyekiti ni mmoja tu mzee bob makani hakuna mwingine tena aliyewahi kuwa mwenyekiti ni aibu aibu.

Mhe. John shibuda amesema tangu mzee mtei akianzishe chama waliowahi kushika nafasi ya mwenyeki ni hao hapo chini-

angalia hapa chini.


1992-1998 mwenyekiti - edwin mtei
1998-2003 mwenyekiti -bob makani-
2003-2008 mwenyekiti - freeman mbowe
2009-2014 mwenyekiti - freeman mbowe
2015 -2020 mwenyekiti -freeman mbowe

mhe. John shibuda amesema uwiano huo unafuatiwa na mhe. Ibrahim lipumba vinala wa ukawa hali hiyo ni hatari sana siku ikifika nitawaambia watanzania jinsi chadema ilivyo.

Mhe. John shibuda amesema safari hii tutawakimbiza mchaka mchaka mpaka watanzania wajue ni chama cha ovyo hakifai kuongoza dola hivi tangu lini chama cha kuweka na kukopa saccos kikaongoza nchi ?-

mhe. John shibuda amesema chama hicho kinaongoza kwa maadamano hakina sera yeyote.

Mhe. John shibuda amesema mumiliki mkuu wa chama hicho ni mzee mtei huyo hapo chini na baba mkwe wake wako pamoja mbowe ni mlopokaji hana hana uwezo wa kuwa kiongozi-
asanteni sana-
john magalle . Shibuda.
 
Sisi wananchi tuna akili timamu na tunajua kuchagua lipi la kweli na lipi la uongo aliyeandika hajui na hapimi wakati uliopo si ule wa enzi hizo walishashindwa kuiua CHADEM siku za nyuma kwa sasa hawawezi kabisa wangetafuta ustaarabu mwingine
 
Ccm wanahaha kuona CDM imefaulu mtihani mgumu uliyowashinda wao, kila kukicha EL et al wanakivuruga chama kwa makundi na hakuna mwenye jeuri ya kuwafanya lolote maana pesa zao zinawafanya wao kuwa bora kuliko chama chao.
 
Sijaelewa anataka Chadema kife au anataka nini?

Hata CCM makini wangependa upinzani uwe na nguvu ili wakikosolewa wanajua jinsi ya kujipanga. Sasa huyu haelewek ni chama gani! Undumilakuwili mbaya kabisa huu?

Umenena vzur sana! Na hili ni tatizo la kutokujitambua!
 
Kutukana ni dalili ya kuishiwa hoja jenga hoja acha vioja mimi sina muda wa kushindana na mwehu kama wewe.

Limekugusa pole sana. Akili ya hedhi hiyo. Kwani kuna tusi hapo ww kilaza? Ni sawa na maji taka tu. Ila kama imekuchoma pole jichomoe taratibu au ivumilie. Chagadema will die.
 
Sijaelewa anataka Chadema kife au anataka nini?

Hata CCM makini wangependa upinzani uwe na nguvu ili wakikosolewa wanajua jinsi ya kujipanga. Sasa huyu haelewek ni chama gani! Undumilakuwili mbaya kabisa huu?

anataka ukweli ujulikane
 
Wachina hawakuletei chochote, unakweda kununuwa mwenyewe na unasafirisha kwa gharama zako na unakuja kuwauzia Watanznia wenzako ulichokinunuwa.

Vitu vya Kichina vipo dunia nzima na vina ubora wa hali ya juu. Kama wewe ulienda kufyatulisha vya "substandard" ni tatizo lako si la Wachina.

Tutegemee nini zaidi ikiwa wewe mwenyewe uko "substandard"?

Hujui unachokisema maana mawazo yako yanakomea katika mipasho na si ajabu hata kucheza mdundiko! Ungejua anayeongea ni nani ungejua maana ya wachina kutengeneza substandard kwa ajiri yako na waa si mwingine regardless kwenda wewe mwenyewe! Nisingependa kueleza zaidi kwani possibly wewe ni hao mnao tumiwa kama middle woman/man ktk kufanya haya mambo ya kuficha UCHAFU WA HAWA WATU!
 
Chadema ni Saccos ya Mtei inayosimamiwa na mkwe wake Mbowe pamoja na mjomba wake Lema

Ccm ni Sacco's ya familia ya kikwete,wao wanapiga mihela wewe unakuja humu kutetea wakati unashandia mlo mmoja.
shangazi, wajomba wazazi wako hoi kwa maisha duni,wewe umekalia porojo mtandaoni.lost generation
 
moderator naomba chanzo cha habari please, Kama ni gazeti au runinga na aliyasema wapi haya shibuda..watu wasiwe wanajitungia tu vijimaneno na kulisha watu humu.
jf tuna taratibu zetu za kuripoti,haturipoti Kama walevi waliolewa matap tap kachoma .
mods piga ban huyu Kama hii habaribni ya kujitungia kwa heshima ya jf please .
 
moderator naomba chanzo cha habari please, Kama ni gazeti au runinga na aliyasema wapi haya shibuda..watu wasiwe wanajitungia tu vijimaneno na kulisha watu humu.
jf tuna taratibu zetu za kuripoti,haturipoti Kama walevi waliolewa matap tap kachoma .
mods piga ban huyu Kama hii habaribni ya kujitungia kwa heshima ya jf please .

Acha kiherehere kunywa dawa upone kwa nini unalialia. mtoa mada big up kwa dawa yako zuri!
 
tuwe serious watanzania tuko millioni 46 chama kina zaidi ya miaka 20 viongozi ni ukoo mmoja tu. watanzania tuone mbali.
 
Mfukuzeni badala ya kumtukana. Yeye hajawatukana kawapa za uso.

Wewe FaizaFoxy za uso wapi? Chama kama kakiona haramu sii ajitoe yeye mwenyewe? Hivi FF kama mumeo ana maumbile makubwa na anakuumiza utasubiri akuache au wewe ndio utamuacha?
 
Last edited by a moderator:
Kama sasa hivi wakiomba kura kinaongozwa kwa ukoo kwa miaka 20 je wakikamata nchi mtawaambia nini tena?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom