TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 583
Nikukumbushe
mtajua muda umeenda chama gani cha kifamilia mtu akitaka kugombea kwa kufata taratibu anafukuzwa hamtatawala milele kabisa
kidumu chama cha mapinduzi chenye usawa na haki kuliko hiki saccos
Usipotoshe ukweli wewe mtoto wa nyoka (muongo), muulize zzk kitita alichovuta ccm kilikuwa kwa mkataba gani. Kafukuzwa na imekula kwenu, ROI zero for ccm.
Last edited by a moderator: