Shibuda si riziki CHADEMA

Shibuda si riziki CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Habari za kutunga hizi.
Weka chanzo?
Ameyasema lini na WAPI?
Alikuwa anaongea / juhojiwa na nani?
Weka mahojiano hayo yakiwa katika sauti!

Wewe usitake chanzo sijui kimetoka wapi, ila ndo limeshatoka hilo hamna lolote siku nyingi mimi hiki chama nilikuwa nakichukia kinyama, Wabunge vichwa pale ni wa 3 hakuna kiongozi wala mwenye ngozi, vichwa vyenyewe ni John Mnyika, Zitto Kabwe, na Halima Mdee, wengine hamna kitu bure kabisa.
 
Hazi kumfikia zito hana ugum anaachwa kwa sbb hana madhara hayo
 
Hakuna wa kuhangaika na Mwehu, watu wako busy kufanya kazi za wananchi na kuimarisha chama.Shibuda aende TOT akachukue mikoba ya komba itamfaa sana kwa kazi yake hiyo.
 
Hii nchi ukitaka kukiua chama cha siasa kupitia mamluki ni rahisi kweli ni ndani ya miaka mitano tu kama umejipanga vyema.

Pro Safari katoka CUF juzi tu lakini leo ni kigogo wa chama,akina J.Mallya etc lazima wawe wanakaa benchi ili kuwasoma vyema.

Huyu Shibuda naye anapenda kick kweli yaani anasubiri mpaka atimuliwe ilhali keshasema ameshachoma katiba ya chama.

Si atambae.
 
aaah!! naaamini shibuda atahamia chama cha UDP!! ili awe mwenyekiti!!!! maaana CCM ni chama cha nyoka!!
 
Hv kwani shibuda amesharudi ccm na amepata tiketi ya uhakika kuwa kwenye kura za maoni hatakuwa na mpinzani??? Yangu macho ila wana maswa sasa si wale wa enzi zile.
Ngoja tusubiri mchakato wa kura za maoni maana muda si mrefu kipenga kitapulizwa na wachezaji wataingia uwanjani.
 
Shibuda ameichoma katiba ya chadema, Anadai imejaa upuuzi na madudu matupu
 
Bila Shaka uyu atakua Juliana shonza....uyu hili Shair Halina vina wala mizani....nyang'au mkubwa we mtoa mada
 
Uzee una tabu. Ni wakusamehewa huyu hajui alitendalo
 
Bila Shaka uyu atakua Juliana shonza ila kwa BHT mbya shairi lake Halina vina wala mizani...nyang'au mkubwa ww
 
Hapa ndio ninapoamini kuwa kweli Chadema ni Chama cha upinzani dhidi ya chama Tawala.
 
Shibuda ni sawa na nyuki wa mashineni.
Afu mbona wao maccm kila kitu ni "baba wa taifa"?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom