Shibuda si riziki CHADEMA

Shibuda si riziki CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Chadema ni Saccos ya Mtei inayosimamiwa na mkwe wake Mbowe pamoja na mjomba wake Lema
 
Wajanja tumeshajiunga kwenye safari ya matumaini ya mheshimiwa rais Lowasa
 
Habari za kutunga hizi.
Weka chanzo?
Ameyasema lini na WAPI?
Alikuwa anaongea / juhojiwa na nani?
Weka mahojiano hayo yakiwa katika sauti!
 
Shibuda ni kichaa ndio maana CHADEMA huwa hawaangaiki nae, kama angekuwa anajitambua wangemchukulia hatua. Shibuda ni Comedian
 
Aisee watakuwa wanamsingizia shibuda, sidhani kama kayasema hayo. that passage is way too direct.

I reserve judgement in this
 
Madaha John-with-Victor Mbonicaand-48 others

3 hrs-·-

Mpendwa soma hii Habari.

Kwa mara nyingi tena mbunge wa maswa mashariki mhe. John M. Shibuda amesema ninawaomba chadema wanifukuze na mimi kwenye chama cha mzee Edwin mtei nawaomba wafanye hivyo.

Mhe. John shibuda amesema sijawahi kuona katika maisha yangu ya siasa kuona katiba mbovu ya chadema katiba hiyo ni katiba ya familia ya mzee Edwin Mtei na baba mkwe wake freman mbowe.

Mhe. John shibuda amesema wakati naingia chadema sikuisoma vizr katiba ya chama hicho niliisoma tayari nimeshakuwa mbunge baada ya kuisoma katiba ya chadema niliichana na kuchoma moto-

Mhe. Shibuda amesema nilishangaa sana kuona chama hicho kinamilikiwa na familia ya mzee edwin Mtei na mbowe aliyemuoa mtoto wa mzee Mtei mbowe yuko kwa kulinda masilahi ya familia hiyo kwa gharama yeyote.

Mhe. John shibuda amesema baada ya kuona katiba hiyo iko hivyo niliidharau sana katiba hiyo chadema ni chama cha familia ya mzee mtei pia chama cha kikabila asilimia 85 ya Ruzuku inaenda kwenye familia ya Mtei.

Mhe. John shibuda anesema chama hicho sio chama ni chama cha kuweka na kukopa SACCOS hata yalipo sasa makao makuu ya chadema kinondoni nyumba waliyopanga ni nyumba ya mzee Mtei.

Mhe. John shibuda amesema malipo yote ya pango yanaingia kwenya akaunti ya mzee Mtei kila mwisho wa mwezi baadhi ya wanachama hawajui wamevikwa blaketi ni aibu aibu sana.

Mhe. John shibuda amesema hata rafiki yangu Mhe. Zitto kabwe alipotangaza kugombea urai mwaka jana alifuatwa na mumiliki wa chama hicho mzee mtei aliambiwa aache kugombea urais amwachie tena Dk. Slaa.

Mhe. John shibuda amesema hata mhe. Zitto kabwe alipotaka kugombea umwenyekiti wa chadema aliambiwa msaliti wa chama ndio matatizo yaliapoanzia hadi amefukuzwa ndani ya chama kwa kuitwa msaliti.

Mhe. John shibuda amesema tangu chadema ianzishwe na mzee mtei aliyeshika nafasi ya umwenyekiti ni mmoja tu mzee Bob makani hakuna mwingine tena aliyewahi kuwa mwenyekiti ni aibu aibu.

Mhe. John shibuda amesema tangu mzee Mtei akianzishe chama waliowahi kushika nafasi ya mwenyeki ni hao hapo chini-

Angalia hapa chini.


1992-1998 mwenyekiti - edwin Mtei
1998-2003 mwenyekiti -Bob Makani-
2003-2008 mwenyekiti - Freeman mbowe
2009-2014 mwenyekiti - Freeman Mbowe
2015 -2020 mwenyekiti -freeman Mbowe

Mhe. John shibuda amesema uwiano huo unafuatiwa na mhe. Ibrahim Lipumba vinala wa UKAWA hali hiyo ni hatari sana siku ikifika nitawaambia watanzania jinsi chadema ilivyo.

Mhe. John shibuda amesema safari hii tutawakimbiza mchaka mchaka mpaka watanzania wajue ni chama cha ovyo hakifai kuongoza Dola hivi tangu lini chama cha kuweka na kukopa SACCOS kikaongoza nchi ?-

Mhe. John shibuda amesema chama hicho kinaongoza kwa maadamano hakina sera yeyote.

Mhe. John shibuda amesema mumiliki mkuu wa chama hicho ni mzee Mtei huyo hapo chini na baba mkwe wake wako pamoja mbowe ni mlopokaji hana hana uwezo wa kuwa kiongozi-
Asanteni sana-
John Magalle . Shibuda.

Sasa mbona huo wimbo si mpya ni ule ule wa kila siku inamana hawajauchoka tu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom