Shibuda kurudisha kadi ya chadema kesho

Shibuda kurudisha kadi ya chadema kesho

Habari ndo hiyo kaa mkao wakula

Ilianza hivi

images



Ikaja hivi

images


Ikaja hivi akaanza kuwa mpweke cdm inamtenga



1.jpg



Mara ikawa Hivi Shibuda akiwa dodoma na JK

images



Mara ikawa hivi

d10.jpg







Sasa kesho anarudisha kadi ya cdm


Mnakaribishwa nyote kumuona Shujaa shibuda akimwaga sera za kutoka cdm:A S 100::majani7:

alikuja kwa nia ya kukidhoofisha chama lkn kachemsha.
 
Aende kazi alioyotumwa na magamba imemshinda wanaume wame mdhibiti,huyo ni klama mwanamke malaya
 
Chama kisicho na plans wala utaratibu!!

Wanangoja CHADEMA wafanye ndo na wao waige!!

Kama malaya flani hivi
 
Itakuwa wapi?
ritz, hujasoma lile tangazo lenu? MKUTANO MKUU WA CCM kufanyika jangwani kesho.
Sasa sijui ni ule wa kikatiba unaofanyika mara kwa mara Dodoma au mna mikutano mikuu ya aina ngapi?
 
Sitashangaa kwani hakuwahi kuwa mwanachama wa chadema kiuhalisia!!!!
 
kama itakuwa hivo ngoja nimweke tayari tayari huyu kuku wangu kumtoa kichwa,nitafurahi hili gamba likirudi kwao
 
Habari ndo hiyo kaa mkao wakula

Ilianza hivi

images



Ikaja hivi

images


Ikaja hivi akaanza kuwa mpweke cdm inamtenga



1.jpg



Mara ikawa Hivi Shibuda akiwa dodoma na JK

images



Mara ikawa hivi

d10.jpg







Sasa kesho anarudisha kadi ya cdm


Mnakaribishwa nyote kumuona Shujaa shibuda akimwaga sera za kutoka cdm:A S 100::majani7:

You sound like Malaria Sugu, hata mzee wa mwiha hata kwa kutishiwa kisu shingoni hawezi kwenda CCM kutokana na njaa yake.
 
Hivi Shibuda yuko CDM au CCM?Mimi siku zote najua yupo CCM ILA BUNGENI ANAKAA UPANDE WA CDM ILI APATE LISHE.....;-)!
 
ama hahika itakua furaha kuu, shibuda akihamia ccm kunamfaa
 
JInga hilo heri mara alfu liondoke CDM. NI mpuuzi wa kupindukia.

Mpuuzi ni wewe au yeye? Kama unafikia kumtukana mtu ambaye amejituliza zake kwake nawe wamtukana kwa kutumia keyboard tu, kama wewe si mpuuzi kumzidi shibuda, naomba ukamtukane laivu.
The unseen is illustrated by the seen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom