Shibuda kurudisha kadi ya chadema kesho

Kwa hiyo kamwaga manyanga?Au ndio ZZM wanampatia ahsante kabla haija disappear na kufa na madeni ya hawa vibaraka.
 
Jaman naomba iwe hivyo maana atakuwa kajimaliza mwenyewe, ee Mungu kama anamawazo hayo msaidie asibadili msimamo.
 
Sitashangaa kama huyu limbukeni akirudisha kadi ya CDM kwenye mkutano wa Chama Cha Mafsadi-CCM. Hapo atakuwa amewasaidia sana CHADEMA maana ataudhihirishia ulimwengu wa Wadanganyika kuwa AMESHINDWA KUVAA GWANDA LA CHADEMA KWA HIYO ANARUDIA GAMBA LAKE ALILOLIACHA CCM!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom