Shibuda amshambulia Tundu Lissu bungeni

Shibuda amshambulia Tundu Lissu bungeni

Tayari picha la kihindi limeanza,mwisho wake anaonekana starling kama vile ndio anaamka kutoka usingizini.
 
Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?
Don't waste our precious time to discuss this man!!
 
Namfurahia Daima Tundu Lisu kwani anatumia Lugha ya kisheria zaidi,na kiswahili cha kawaida, kwani haya mambo ya tafsida ndio yanasababisha kesi nyingi za kubaka kushindwa mahakamani, kwani lazima useme kitendo kizima, kwa mfano huwezi kusema eti alinikamata akaniangusha chini halafu akanifanyia mchezo mchafu,,,, ayaaa sheria haijui mchezo mchafu
 
mimi nmemsikiliza shibuda mwanzo mwisho. Hakuna alipo mpinga Lissu tofauti na kutoa hotuba yake kwa mfumo wa shairi kwa kuweka vina mwanzo kati na mwisho. Mimi sitaki kuwa mnafiki kwa kuongea Uongo. katumia Uhuru wake vizuri na wala hakulopoka kama kawaida yake. kwa kweli Shibuda safari hii ameonyesha ukomavu na kufuata makanyo alopewa na chadema. mia
 
Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?

iko siku watadundana tu
sasa sijui nani atapigwa?we mleta mada unaona nani atapigwa?
Halafu mara nyingi huwa nasahau kama shibuda ni CHADEMA mi najuaga ni CCM
 
Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?

Shibuda kasema kweli, si neno zuri hilo angesemaa kama wenyewe Waswahili tunavyoutamka huo msamiati "nguo ya kuazima haisitiri mwili".

Hawa magwanda ndio wanalolijuwa hilo, matusi tu.
 
Sasa shibuda alitaka neno gani litumike wakati hata wabunge wengine walimkosoa Tundullisu kwa kusema uchi badala ya ******!

shada ya lugha ya kiswahili ni kugeuza ukweli kuwa ni kitu cha siri, kama ni goti acha liitwe goti siyo useme katikati ya mguu, kutumia neno uchi ni sawa kama kiswahili ilivyo lugha ya kufichaficha, usiri, au heshima ambayo kwa dhati moyoni inakuwa haipo, badala ya kusema nguo ya kuazima haiseriri matxako, huyo shibuda yeye anaona lugha tu, baadala ya kuchangia hoja zenye maana ni vipi watanzania wajikwamue ili kuboresha maisha, mizee mingine hopeless.
 
haaa tuachane na ngebe za huyu mzee...hana mshiko tena kwenye siasa... asubiri 2015 achomoke hapo aingie kamanda kijana mwingine..
 
Nilimsikiliza ila kuna namna ambavyo alihitimisha hiyo hoja kabla ya kukaa, ila sikumsikia vizuri!
 
Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?.....

Gambaliza hilo! Kwani hujui?
 
Acha uongo wewe wala hakuna msamiati wa nguo ya kuazima haistiri mwili! Labda huu ni wako wewe!

Shibuda kasema kweli, si neno zuri hilo angesemaa kama wenyewe Waswahili tunavyoutamka huo msamiati "nguo ya kuazima haisitiri mwili".

Hawa magwanda ndio wanalolijuwa hilo, matusi tu.
 
Washabiki wa CDM wengi wao wanafikiri kupitia chupa ya bia kwani Tundu ni malaika kila anachosema kiko sawa kurekibishana ndio demokrasia acheni dhana potofu kudhani viongozi wenu kila kati wako sawa au kwakuwa hatoki kupitia kanisa mbona mbowe kamsifia kikwete laiti angefanya zitto mngepata la kusema leo hapa jf
KANISA;Kanisa limeingiaje kwenye mjadala huu?Ni kipofu wa akili na mawazo ambaye atakuwa haoni hatari iliyo mbele yetu,UDINI UTATUMALIZA.
 
Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?

Mimi sioni ubaya mtu kusema kile anachotaka mradi havunji sheria. Watu wote hawafanani na hatuwezi "kuvaa uniform". Acha watu waseme. CDM ni chama makini kinaruhusu hilo. Tusiwe kama CCM ukisema "Wana-KU-KOLIMBA" au kukutupia 'kitu kizito'.
 
du ni kweli 'maskini akipata ****** hulia mbwata mbwata'shibuda cdm wamemwinua kajiona tayari hakuna kama yeye.time will tell
 
Shibuda anataka kurudi nyumbani gambani. Sasa juhudi zake za kutaka kuibomoa CDM zimegonga mwamba.....

Sasa si aombe kurudi kimya kimya kwa nini anawashambulia wenzie.
 
Huyo babu yupo kwa ajili ya kuvuruga upinzani kama Mrema. Kuna haja ya chama makini kuwachunguza hawa jamaa wanaohama thithimwewe na kuingia CDM. Atawasumbua sana huyu ila nashukuru wameamua kumuignore!!!....

Chadema ni chama makini hata Baba wa Taifa alilitambua hilo na kusema kuna siku kitashika dola,kwa hiyo shibuda ni sisimizi tu mwisho wake ni 2015.
 
Back
Top Bottom