Shibuda amshambulia Tundu Lissu bungeni

Shibuda amshambulia Tundu Lissu bungeni

Malizia tu ****** hata shule tumefundishwa hivyo bila shida waogopa nini? Ban?
Nadhani hilo ndo kosa la TL, vinginevyo hiyo ni methali ya kiswahili inayosema "Nguo ya kuazima haisitiri ******"
 
Mod wamechakachua basi masaburi, au yale matuta mawili chini da mgongo aumaketio.au makali o
 
kwa hali ya kawaida, neno uch.. linaondosha utulivu kwa mpokeaji wa taarifa.

Ukitaka kujua hilo jaribu kulitamka kwa baba ama mama.

Mbona kwenye vitabu vitakatifu linatajwa! Isiwe kwa bunge lililojaa wazinzi kama akina .....Nch....
 
........ kufanya kosa sio kosa bali kosa ni kurudia kosa..................kama hashukuru kwa nafasi aliyokuwa nayo na alipofikia basi ana matatizo.... shibuda yuko katika hali ya kuaga.... anaaga kwa sababu anajua iwe isiwe yeye na CHADEMA ndo bye bye... anaweza akaongea apendavyo kwa sababu anaelewa kwamba tayari ameshatukana mkunga wakati uzazi ungalipo........hana jinsi ......... Jana nilimsikia anasema alikuwa anaumwa na ameshauriwa na daktari kupunguza uzito kwa kilo 26........ huyu ni mgonjwa sasa sidahani kama kuna muda wa kuupoteza kwa mtu ambaye bado anataka kwenda kwa daktari

nasikia anahamia kwa Dovutwa.
 
Nadhani hilo ndo kosa la TL, vinginevyo hiyo ni methali ya kiswahili inayosema "Nguo ya kuazima haisitiri ******"

that y kiswahili kinakufa utasemaje hlo neno ni vinabaya kulitamka??eti maungo ya siri!kila mtu anayo zaidi ya watu bil dunia nzima wanayo sasa kunasiri gani hapo???tandika neno kama lilivyo ndo tunakuza kiswahili kwani kitu gani bwana????????
 
Washabiki wa CDM wengi wao wanafikiri kupitia chupa ya bia kwani Tundu ni malaika kila anachosema kiko sawa kurekibishana ndio demokrasia acheni dhana potofu kudhani viongozi wenu kila kati wako sawa au kwakuwa hatoki kupitia kanisa mbona mbowe kamsifia kikwete laiti angefanya zitto mngepata la kusema leo hapa jf

mnapokuwa na lengo moja la kuondokana na mkoloni mweusi inatakiwa muwe na kauli moja.Akina kawawa wangepingana na Nyerere uhuru usingepatikana.
 
wakati mnapokuwa na agenda moja hasa kama hii ya ukombozi wa watanzania wanaokandamizwa na chama kisichokuwa makini kama ccm(ona shutuma za rushwa kwenye chaguzi zake)na anatokea mtu kujaribu kwa nguvu zote kuhitilafiana nanyi lazima mjue huyo si mwenzenu,inabidi afanye hayo kwenye chama kingine ambacho kinafanana na mtazamo wake,si kila siku kwenda kinyume na wenzake

Tatizo Pro-CCM wanapenda sana CDM kiwe na makundi kama wao walivyopoteana sasa.
 
Ni methali ya kawaida kabisa na ni kiswahili sahihi, yeye shibuda ndo nguo yenyewe ndani ya Chadema. "Nguo ya kuazima haisitiri ******" mwache ajiandae kujipendekeza nyinyiemu ambako pia 2015 atatoswa.

Atoswe tu akalime pamba.
 
Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?

Nimejaribu kutafuta sehemu ambayo Shibuda kamshambulia Tundu Lissu kwa kweli sijaona. Nilichoona ni Shibuda kamuweka sawa Tundu Lissu.
 
Inamaana neno ma.ta.ko ni tusi..??
Hebu tupeni kilainishi cha mata.ko au uchi.
 
Nimemshangaa sana ameacha kumshambulia yule mbunge wa znz kombo aliesema kifutio kinaitwa kifirio ila akaona maneno ya lisu ndio yanaondoa utulivu wa fikra kuliko yule aliye taja kifirio
 
Utafikiri kuna agenda ya siri lakini laa tatizo ni wewe mwenyewe una mapenzi na chama chako kupita kiasi kipofu utaita chongo kila alisemalo mwana chama chako ni haki na kweli kubali kukosolewa utakomaa kisiasa
 
Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?

Kama Mbunge Mchaguliwa ana uhuru na haki ya kutoa na kuchangia Mawazo yake Binafsi...

kwa ajili ya wananchi wa jimbo lake achilia mbali itikadi ya chama chake cha siasa...

Sio lazima awe na Mawazo ya Freeman, Zitto au Mnyika.!

Ingawa anaonekana kuwa tofauti lakini anaonyesha ukomavu wa kisiasa ndani...

ya Bunge kwa kujenga oja kama alivyochangia vinzuri katika itifaki hiyo ya kiswahili...

kwa Nchi za Afrika Mashariki...

Kimsingi huwezi fananisha na wale wa MAGAMBA.!!!
 
hata akitukana asikosolewe kisa ni tundu kaongea?????????

huo ni msemo wa kiswahili hata hauhitaji elimu ya chuo kikuu kuujadili.shibuda amemsahihisha tundu,kosa lake liko wapi??????????tuache umungu mtu jamani
 
Mbona kwenye vitabu vitakatifu linatajwa! Isiwe kwa bunge lililojaa wazinzi kama akina .....Nch....

hata mimi nashangaa tena limetajwa bila tafsida,watu bwana
 
that y kiswahili kinakufa utasemaje hlo neno ni vinabaya kulitamka??eti maungo ya siri!kila mtu anayo zaidi ya watu bil dunia nzima wanayo sasa kunasiri gani hapo???tandika neno kama lilivyo ndo tunakuza kiswahili kwani kitu gani bwana????????

walitaka aseme vagina au anus au penis ndio tafsida wabongo bwana kwa utumwa mbona wazungu wanaongea vizuri tu.
 
Hawa ndio Watanzania walioficha fedha Uswisi

September 15, 2012
Kwamuda wa miaka miwili sasa tangu tulipoanza kazi nzito ya upelelezi wa wakubaini na kuzuia uingizaji na utoroshaji wa pesa nchini,
Juhudi zetu zimeanza kuzaa matunda baada ya kubaini majina halisi ya watanzania walioficha fedha nje ya nchi na wanaoingiza fedha haramu nchini.
Kwakushirikiana na mashirika ya kijasusi ya CIA-USA, M1-6-UK, RAW-India, DGSE-Ufaransa, FSB Urusi, ISI Pakistan, na MSS-China, ambayo yamekuwa yakifuatilia nyendo za fedha haramu hasa za kighaidi dunia, tumefanikiwa kutambua Watanzania, Wakenya, Waafrika kusini, Waganda na Wakongo wengi matajiri walioficha fedha uswisi.
Hapa nitawaorodhesha Watanzania tu;
Orodha ni ndefu ila hapa ni wale walioficha zaidi ya USD $3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na makampuni ya nje yenye shughuli Tanzania. Wamo hata Makatibu Wakuu Wizarani na wakurugenzi ila hawajafikia USD3.5million ndio maana majina yao hayamo.
Orodha kamili ni:
Jakaya M. Kikwete, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja , Zitto Kabwe, William B. Mkapa, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba,Mustapha Mkullo, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa,Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu mwenye asili ya Kinigeria, Awadh Mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na Subhash Patel
Orodha ya wanaoingiza pesa chafu/haramu na kuzitakatisha ni ndefu nitawawataja kadiri muda utakavyo niruhusu.
source: http://jasonbournetz.wordpress.com/2012/09/15/hawa-ndio-watanzania-walioficha-fedha-uswisi/
 
Nimejaribu kutafuta sehemu ambayo Shibuda kamshambulia Tundu Lissu kwa kweli sijaona. Nilichoona ni Shibuda kamuweka sawa Tundu Lissu.

Mkuu Ritz tuwe wakweli amemrekebisha nini wakati TL ametamka kiswahili fasaha yeye alitaka tafsida,labda useme wewe tafsida ya hayo maneno ni nini bila kuingiza kiingereza.
 
Back
Top Bottom