Shibuda amshambulia Tundu Lissu bungeni

Shibuda amshambulia Tundu Lissu bungeni

WanabodiKama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika masharikiMy take!Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?
kumbe bado yupo?
 
Nimemshangaa sana ameacha kumshambulia yule mbunge wa znz kombo aliesema kifutio kinaitwa kifirio ila akaona maneno ya lisu ndio yanaondoa utulivu wa fikra kuliko yule aliye taja kifirio

hajui kwamba watanzania wengi sasa neno "Shibuda" ndilo linaondoa utulivu wa fikra
 
Utafikiri kuna agenda ya siri lakini laa tatizo ni wewe mwenyewe una mapenzi na chama chako kupita kiasi kipofu utaita chongo kila alisemalo mwana chama chako ni haki na kweli kubali kukosolewa utakomaa kisiasa

Tupe kilainishi cha maneno aliyosema Tundu Lissu.
 
shibuda nmpa bigup chadema hawana uvumilivu wa kisiasa tazama wanavyomfanyia zito kisa anataka urais
 
tatizo la wafuasi wa cdm wanapendadm au watu wao wasifiwe tu... Hizo si siasa upokea na maumivu pia.

SHIBUDA ni mshamba. maneno ( nguo ya kuazima haisitiri ******/uchi ) ni methali ya Kiswahili fasaha ambayo ina uhalali wa kutamkwa mahali popote siyo kwa nia mbaya ya mtamkwaji. Hata katika shule za msingi , sekondari na vyuo methali hii inatumika sana. Kwakuwa methali hii haijafutwa na Baraza la Kiswahili Tanzania , SI BUSARA KUMSHAMBULIA MWENZIO ANAYETUMIA METHALI HIYO. Tunafahamu Shibuda ni aina ya watu kama akina NYIMBO, ZITTO, MREMA , HAMAD RASHID NK. NI VIHELEHELE bila uvumilivu. ACHENI KUWAKATISHA TAMAA WATU WENYE UWEZO MZURI KULIKO NYINYI MATAHIRA. nyama nyie.
 
Shibuda anataka kurudi nyumbani gambani. Sasa juhudi zake za kutaka kuibomoa CDM zimegonga mwamba
 
Huyo babu yupo kwa ajili ya kuvuruga upinzani kama Mrema. Kuna haja ya chama makini kuwachunguza hawa jamaa wanaohama thithimwewe na kuingia CDM. Atawasumbua sana huyu ila nashukuru wameamua kumuignore!!!
 
Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?

nimemfuatilia vizur sana shibuda
kasema kweli
 
hawa ndio watanzania walioficha fedha uswisi

september 15, 2012
kwamuda wa miaka miwili sasa tangu tulipoanza kazi nzito ya upelelezi wa wakubaini na kuzuia uingizaji na utoroshaji wa pesa nchini,
juhudi zetu zimeanza kuzaa matunda baada ya kubaini majina halisi ya watanzania walioficha fedha nje ya nchi na wanaoingiza fedha haramu nchini.
Kwakushirikiana na mashirika ya kijasusi ya cia-usa, m1-6-uk, raw-india, dgse-ufaransa, fsb urusi, isi pakistan, na mss-china, ambayo yamekuwa yakifuatilia nyendo za fedha haramu hasa za kighaidi dunia, tumefanikiwa kutambua watanzania, wakenya, waafrika kusini, waganda na wakongo wengi matajiri walioficha fedha uswisi.
Hapa nitawaorodhesha watanzania tu;
orodha ni ndefu ila hapa ni wale walioficha zaidi ya usd $3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na makampuni ya nje yenye shughuli tanzania. Wamo hata makatibu wakuu wizarani na wakurugenzi ila hawajafikia usd3.5million ndio maana majina yao hayamo.

Orodha kamili ni:
Jakaya m. Kikwete, january makamba, abdalla kighoda, nimrod mkono, nazir karamagi, andrew chenge, yusuf makamba, edward lowassa, rostam aziz, yusuf manji, ridhiwani kikwete, mohamed dewji, bernard membe, paul chagonja , zitto kabwe, william b. Mkapa, said mwema, abdulrahman shimbo, edward hosea, daudi t.s balali, basil mramba,mustapha mkullo, grey mgonja, patrick rutabanzibwa,tanil somaiya, jeetu patel, onoko okesukwu mwenye asili ya kinigeria, awadh mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na subhash patel
orodha ya wanaoingiza pesa chafu/haramu na kuzitakatisha ni ndefu nitawawataja kadiri muda utakavyo niruhusu.
Source: Hawa ndio Watanzania walioficha fedha Uswisi « Jason Bourne

mbowe,slaa,lema,ndesamburo,mtei...endele
 
Huyo babu yupo kwa ajili ya kuvuruga upinzani kama Mrema. Kuna haja ya chama makini kuwachunguza hawa jamaa wanaohama thithimwewe na kuingia CDM. Atawasumbua sana huyu ila nashukuru wameamua kumuignore!!!

Waanze na slaa pamoja na mbowe kuchunguzwa na wao pia wametoka ccm na hususan mbowe anae anza kumsifia kikwete
 
hata lugha nayo ni kushambulia? Ngoja nikae mbali na tafrani.

Dah, hapa kweli naona hata watu wamesahau maneno yanayoitwa tasfida na kuweka ushabiki mbele, mimi sijaona cha ajabu hapo maana msemo wenyewe unasema " Nguo ya kuazina haistili ******" sio uchi.
 
Hivi bado kuna watu wanaopay attent kwa huyu bwana mkubwa?
 
kuna methali moja inasema "mficha uchi hazai" isitumike? neno uchi si tatizo bali tatizo ni yule anali- perceive ni tatizo lla perception
 
Huyu mzee shibuda na miwani yake kama Microscope asubiri 2015 atausikia Ubunge kwenye TV sidhani hata chama cha DOVUTWA kitamkubali, miongoni mwa watu ambao walitakiwa kuishukuru CHADEMA maisha yao yote ni shibuda, angekufa njaa mzee huyu.

Alafu hajawahi kutoa hoja yeyote bungeni zaidi ya kudandia hoja zinazotolewa na wabunge wengine makini. Nadhani kinachomfanya Shibuda kuwa kinyume ni hasira zinazotokana na kuwa huwa haruhusiwi kuingia katika vikao vya Halmashauri kuu ya CHADEMA kwani walishamjua kuwa ni mamluki.
 
Waanze na slaa pamoja na mbowe kuchunguzwa na wao pia wametoka ccm na hususan mbowe anae anza kumsifia kikwete
Shida ya Watz wengi ni kudhani kwamba upinzani ni kupinga kila kitu, haiwezekani hata kidogo. Kama kuna jambo zuri limefanywa na serikali lazima kusifia vinginevyo itakuwa ni kuruhusu upofu wa fikra. Kwamba Mbowe kamsifia Ki'wete kwani shida iko wapi? kama ni barabara si imetengenezwa kwa kiwango cha Lami? Kutoka CCM kuhamia CDM sikumaanisha kuwa ni dhambi ila lazima wahamiaji wachunguzwe, kama unamjumlisha Slaa kwasababu tu aliipiga chini CCM basi utakuwa umeamua kulaumu tu bila kuingia katika undani wa hoja au mantiki!!!!!
 
Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?
Kuna mtu alimuulizia Mhe. Shibuda Sasa kampata
 
Mh! Lugha ya Kiswahili inakuwa ngumu bila sababu, hivi ukiambiwa 'naked truth' utafsiri utasemaje? Ile methali inayosema mficha ..... Hazai? Wataalamu wakiswahili wapitie upya nahau zetu na methali kwa kweli. Niko na kitabu cha mwanangu hapa methali tata Kama hiyo ya mhe. Lissu ni nyingi. Je zitumike au ziondolewe. Nimerudi kwa mtume Paulo nae anasema 'Nini kitanitenga na upendo wa Mungu? Je ni ......, njaa, dhiki? Tubaki na maudhui ya methali husika, kunyambulisha kiswahili kutaondoa maana husika.
Kazi ipo.
Queen Esther
 
Back
Top Bottom