Shibuda amshambulia Tundu Lissu bungeni

Shibuda amshambulia Tundu Lissu bungeni

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
4,700
Reaction score
1,090
Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?
 
Huyu mzee shibuda na miwani yake kama Microscope asubiri 2015 atausikia Ubunge kwenye TV sidhani hata chama cha DOVUTWA kitamkubali, miongoni mwa watu ambao walitakiwa kuishukuru CHADEMA maisha yao yote ni shibuda, angekufa njaa mzee huyu.
 
Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?

Ni kum-ignore tu. Anajenga mazingira ya kupokelewa na CCM maana anajua fika kuwa 2015 will not feature in CDM list! I guess
 
hata lugha nayo ni kushambulia? Ngoja nikae mbali na tafrani.
 
Sasa shibuda alitaka neno gani litumike wakati hata wabunge wengine walimkosoa Tundullisu kwa kusema uchi badala ya ******!
 
Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.
Nadhani hilo ndo kosa la TL, vinginevyo hiyo ni methali ya kiswahili inayosema "Nguo ya kuazima haisitiri ******"
 
Ni kum-ignore tu. Anajenga mazingira ya kupokelewa na CCM maana anajua fika kuwa 2015 will not feature in CDM list! I guess
Mimi naamini ujasiri wa kisiasa ni pamoja na kuwavumilia watu wenye mawazo tofauti na contoversial kama Shibuda
 
Shibuda si ndo mnamuitaga kamanda vipi tena!
 
Ndio aina ya wabunge tulionao,ameguswa na lissu kwa sabb kiingereza huwa anakisikia kwenye tv.
 
kwa hali ya kawaida, neno uch.. linaondosha utulivu kwa mpokeaji wa taarifa.

Ukitaka kujua hilo jaribu kulitamka kwa baba ama mama.
 
wanabodi

kama kawaida ya john shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni tundu lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

my take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?

tatizo la wafuasi wa cdm wanapendadm au watu wao wasifiwe tu... Hizo si siasa upokea na maumivu pia.
 
Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?

........ kufanya kosa sio kosa bali kosa ni kurudia kosa..................kama hashukuru kwa nafasi aliyokuwa nayo na alipofikia basi ana matatizo.... shibuda yuko katika hali ya kuaga.... anaaga kwa sababu anajua iwe isiwe yeye na CHADEMA ndo bye bye... anaweza akaongea apendavyo kwa sababu anaelewa kwamba tayari ameshatukana mkunga wakati uzazi ungalipo........hana jinsi ......... Jana nilimsikia anasema alikuwa anaumwa na ameshauriwa na daktari kupunguza uzito kwa kilo 26........ huyu ni mgonjwa sasa sidahani kama kuna muda wa kuupoteza kwa mtu ambaye bado anataka kwenda kwa daktari
 
Washabiki wa CDM wengi wao wanafikiri kupitia chupa ya bia kwani Tundu ni malaika kila anachosema kiko sawa kurekibishana ndio demokrasia acheni dhana potofu kudhani viongozi wenu kila kati wako sawa au kwakuwa hatoki kupitia kanisa mbona mbowe kamsifia kikwete laiti angefanya zitto mngepata la kusema leo hapa jf
 
Mimi naamini ujasiri wa kisiasa ni pamoja na kuwavumilia watu wenye mawazo tofauti na contoversial kama Shibuda

wakati mnapokuwa na agenda moja hasa kama hii ya ukombozi wa watanzania wanaokandamizwa na chama kisichokuwa makini kama ccm(ona shutuma za rushwa kwenye chaguzi zake)na anatokea mtu kujaribu kwa nguvu zote kuhitilafiana nanyi lazima mjue huyo si mwenzenu,inabidi afanye hayo kwenye chama kingine ambacho kinafanana na mtazamo wake,si kila siku kwenda kinyume na wenzake
 
Ni methali ya kawaida kabisa na ni kiswahili sahihi, yeye shibuda ndo nguo yenyewe ndani ya Chadema. "Nguo ya kuazima haisitiri ******" mwache ajiandae kujipendekeza nyinyiemu ambako pia 2015 atatoswa.
 
Back
Top Bottom