Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

Unaoga mtoni nguo,umeziacha pembeni mwa mto,akaja kichaa mental,akabeba nguo zote akaanza kukimbia nazo,je utatoka mtoni na kuanza kumufukuza?ok ndivyo ilivyo kwa shibuda viongozi chadema waachane naye huyo mental tu kichaa
 
Sijaona mantiki ya huyu mpuuzi kumfukuza.Huyu ni wa kumwacha aendeleee kuropoka ila chama lazima kimwangalie kwa macho manne.Na wala hasishirikishwe kwa mambo muhimu ya kichama
 
Jimbo la Maswa kuwa wazi kwa muda ni haki. Kauli ya Shibuda isipuuzwe,
maamuzi ya busara yachukuliwe haraka. Katika mwendelezo wa kuijenga
CDM.
 
Kwangu mimi Shibuda hana hadhi ya kujadiliwa kabisa. The man has's long past his expiry. Na kinachonishangaza ni kwa CCM kuendelea kumtumia kama shushushu wao ndani ya CDM! Shibuda? Sana sana BAVICHA wanaweza kufanya kazi moja once and for all, wamtangaze Shibuda ni enemy of M4C then waendelee na mambo mengine ya maana. Wapiga kura watahangika naye.
sioni sababu ya Bavicha kuhangaika na Shibuda. Huyu ni marehemu kisiasa,hata huko CCM walikwisha mchoka. Hakuna kiongozi makini ktk CCM anamheshimu Shibuda. Viongozi wa Bavicha mjishughulishe na kuwaandaa vijana kuchukua uongozi wa nchi ambao utaonyesha tofauti na watawala wa sasa! Hilo ndilo jukumu kubwa lililoko mbele yenu,siyo huu ujinga wa Shibuda!
 
Nimeyapenda maneno ya Shibuda...
"Ukiwapinga Mbowe na Slaa unaonekana mhaini". Mfano wa Wachaga na wasukuma nao lilikuwa ni indirect dongo...
 
Hivi ni makosa ndani ya Chadema kusema kugombea urais? Shibuda ana haki ya kugombea hakuna wa kumzuia Jembe Shibuda hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Nimeyapenda maneno ya Shibuda...
"Ukiwapinga Mbowe na Slaa unaonekana mhaini". Mfano wa Wachaga na wasukuma nao lilikuwa ni indirect dongo...

Mnafiki tu. Huna lolote!
 
Mnafiki tu. Huna lolote!
Hapa hamna unafiki wowote. Alichongea Shibuda ni kweli kabisa. CDM kuna udikteta wa hali ya juu na hamna demokrasia ya kweli kama wenyewe wanavyojipamba
 
Shibuda akifukuzwa ni kumuongezea umaarufu, jinsi umaarufu wake unavyoporomoka hadi CCM wenyewe wanamshitukia ingawa yeye mwenyewe kwa ujinga wake anaona ni sifa.
Muda si mrefu atajikuta anaropoka kumuomba JK amteue Balozi.

mkuu you make my day.
 
Hapa hamna unafiki wowote. Alichongea Shibuda ni kweli kabisa. CDM kuna udikteta wa hali ya juu na hamna demokrasia ya kweli kama wenyewe wanavyojipamba

Demokrasia ipo ccm bila shaka hata Bashe, Salim h. Salim, salelii, na uvccm bmoyo ni mashahidi.
 
Hivi kwa nini cdm mtu akitamka tu atagombea urais anaandamwa?tuliliona hili kwa mmoja wa viongozi pekee wawili tu huko chadema ambao hawakutokea ccm bwana zitto kabwe.
 
Hivi kwa nini cdm mtu akitamka tu atagombea urais anaandamwa?tuliliona hili kwa mmoja wa viongozi pekee wawili tu huko chadema ambao hawakutokea ccm bwana zitto kabwe.Hiyo demokrasia yenu(chama cha demokrasia) mnaifanyia wapi labda ?
 
Ikiwezekana wampime akili kwanza ili kumtendea haki! Wakigundua ni tatizo la akili, wamwache na kujifunza kumpuuza tu.
 
Back
Top Bottom