Seriously sikumwamkia wanielewe wasinielewe watajua wenyewe... Mimi sio wa jamii yao mila ni tofautiHaaaaa mkuu serious?? Vipi walikuelewa?
mndamba kutoka Ifakara
Hahahaaa na mdgo wao bado unamla kama kawaidaaSeriously sikumwamkia wanielewe wasinielewe watajua wenyewe... Mimi sio wa jamii yao mila ni tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan ni imani iliyojengeka miongoni mwa jamii kwamba usiposema SHIKAMOO basi wewe unaonekana hauna heshima kabisa,na hiyo imani inarithishwa kutoka kizazi hadi kizazi
Seriously sikumwamkia wanielewe wasinielewe watajua wenyewe... Mimi sio wa jamii yao mila ni tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikasema, hata kusema "good morning" wakati una lugha yako bado ni utumwa, inaonyesha kiasi gani waafrika tupo dependant kwa waliotutawala, iwe kidini au kijamii.Sasa kwa tafsiri hyo ya hilo neno......kuna utumwa gani unaouona ndani yake?

aisee hii comment yako unaweza kuombea kazi benki na wakakupaShikamoo si salam ya kiungwana,wala haina maana ya heshima bali ni salam ya kitwana. Ni salaam iliyokuwa ikitumiwa na watumwa enzi ya ukoloni wa waarabu kuonyesha utii kwa master. In fact hata waarab hawatumii hii (shikamoo) ambayo sisis tunaona kama ni heshima. Shikamoo maana yake ni 'Niko chini ya miguu yako'Naamini mko poa humu ndani.
Leo mida ya asubuh wakati naelekea kwnye miangaiko yangu ya hapa na pale bhana, nikapita mita ya karibu na nyumba anayoishi Mzee wetu mwenye nyumba.
Sasa kikukweli alikua mbali sana kiasa cha distance ya kama mita 25 au thelathini tokea nipokua napita Mimi.
Nikaona hapa kama ni kutoa salam ili aiskie bs nipaze sauti sana ndo tuskilizane...basi nikaona sio kesi nikapita kikauzu
Sasa kumbe yeye kanichora tu.
Nimerudi sa hv geto nimemkuta nje ya nyumba yetu aliotupangisha anafanya Fanya usafi.........nikamsalimia...akanikaushia....nikarudia tena kumsalimia aiseee..
Nikashangaa Mzee kawaka "unanisalimia nin wakat asubuhi umenipita bila salam,, siku hz umekua na dharau sana, hvo vimiambili mia mbili vinakuchanganya"
Yani kwa kifupi aliongea kinoma....nikaona niingie zangu ndani tu, ile nimeshangaa sana,
Sasa sijui nyie watu wa humu ndani katika swala LA kutoa shikamoo mnakua mmejiwekea utaratibu gani.
Mana mim mtu akiwa mbali sana siwezaji kupaza sauti kumsalimia kama natangaza salam bhana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamooo ni utumwaaaShikamoo si salam ya kiungwana,wala haina maana ya heshima bali ni salam ya kitwana. Ni salaam iliyokuwa ikitumiwa na watumwa enzi ya ukoloni wa waarabu kuonyesha utii kwa master. In fact hata waarab hawatumii hii (shikamoo) ambayo sisis tunaona kama ni heshima. Shikamoo maana yake ni 'Niko chini ya miguu yako'
Walinipa tena hata sikumaliza mahari (ila siku ya kwanza kwa kuweka heshima na kuogopa kunyang'anywa mke ukizingatia ni siku ya utambulisho nilimwamkia, nikampiga biti Zito awe ananiamkia mi sio mdogo kwake kuanzia hapo akawa ananiamki daily)Swali muhimu kuliko yote..
Ulifanikisha mchakato wa kupata mke bila kutoa shikamoo kwa shemeji!?
Au walikutilia ngumu mkuu.
Na wewe acha ukuda kwani salamu nani amekuambia ni lazima useme shikamoo, hata kama ulikua mbali nae si ungepunga mkono tu, tatzio vijana wa siku hizi mnadharau sana, unajua salamu haiombwi lakini kuna muda unaitaka kabisa ili kuona heshima ipo...Naamini mko poa humu ndani.
Leo mida ya asubuh wakati naelekea kwnye miangaiko yangu ya hapa na pale bhana, nikapita mita ya karibu na nyumba anayoishi Mzee wetu mwenye nyumba.
Sasa kikukweli alikua mbali sana kiasa cha distance ya kama mita 25 au thelathini tokea nipokua napita Mimi.
Nikaona hapa kama ni kutoa salam ili aiskie bs nipaze sauti sana ndo tuskilizane...basi nikaona sio kesi nikapita kikauzu
Sasa kumbe yeye kanichora tu.
Nimerudi sa hv geto nimemkuta nje ya nyumba yetu aliotupangisha anafanya Fanya usafi.........nikamsalimia...akanikaushia....nikarudia tena kumsalimia aiseee..
Nikashangaa Mzee kawaka "unanisalimia nin wakat asubuhi umenipita bila salam,, siku hz umekua na dharau sana, hvo vimiambili mia mbili vinakuchanganya"
Yani kwa kifupi aliongea kinoma....nikaona niingie zangu ndani tu, ile nimeshangaa sana,
Sasa sijui nyie watu wa humu ndani katika swala LA kutoa shikamoo mnakua mmejiwekea utaratibu gani.
Mana mim mtu akiwa mbali sana siwezaji kupaza sauti kumsalimia kama natangaza salam bhana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mambo gani haya ya kumwambia MTU "nipo chini ya miguu yako"Shikamoo si salam ya kiungwana,wala haina maana ya heshima bali ni salam ya kitwana. Ni salaam iliyokuwa ikitumiwa na watumwa enzi ya ukoloni wa waarabu kuonyesha utii kwa master. In fact hata waarab hawatumii hii (shikamoo) ambayo sisis tunaona kama ni heshima. Shikamoo maana yake ni 'Niko chini ya miguu yako'
Hahahahahaaaa basi hyo mila na desturi ni ya hatari kuliko zote.....mkoa gani huo aiseeWalinipa tena hata sikumaliza mahari (ila siku ya kwanza kwa kuweka heshima na kuogopa kunyang'anywa mke ukizingatia ni siku ya utambulisho nilimwamkia, nikampiga biti Zito awe ananiamkia mi sio mdogo kwake kuanzia hapo akawa ananiamki daily)
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah mwanangu ukuda gn bhana mtu yupo mbali kabisa....Na wewe acha ukuda kwani salamu nani amekuambia ni lazima useme shikamoo, hata kama ulikua mbali nae si ungepunga mkono tu, tatzio vijana wa siku hizi mnadharau sana, unajua salamu haiombwi lakini kuna muda unaitaka kabisa ili kuona heshima ipo...
kanda ya ziwa.... Mwanza hiyoHahahahahaaaa basi hyo mila na desturi ni ya hatari kuliko zote.....mkoa gani huo aisee
Walinipa tena hata sikumaliza mahari (ila siku ya kwanza kwa kuweka heshima na kuogopa kunyang'anywa mke ukizingatia ni siku ya utambulisho nilimwamkia, nikampiga biti Zito awe ananiamkia mi sio mdogo kwake kuanzia hapo akawa ananiamki daily)
Sent using Jamii Forums mobile app