Sheria ya salamu ya "Shikamoo"

Sheria ya salamu ya "Shikamoo"

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
6,933
Reaction score
9,033
Naamini mko poa humu ndani.

Leo mida ya asubuh wakati naelekea kwnye miangaiko yangu ya hapa na pale bhana, nikapita mita ya karibu na nyumba anayoishi Mzee wetu mwenye nyumba.

Sasa kikukweli alikua mbali sana kiasa cha distance ya kama mita 25 au thelathini tokea nipokua napita Mimi.

Nikaona hapa kama ni kutoa salam ili aiskie bs nipaze sauti sana ndo tuskilizane...basi nikaona sio kesi nikapita kikauzu

Sasa kumbe yeye kanichora tu.

Nimerudi sa hv geto nimemkuta nje ya nyumba yetu aliotupangisha anafanya Fanya usafi.........nikamsalimia...akanikaushia....nikarudia tena kumsalimia aiseee..

Nikashangaa Mzee kawaka "unanisalimia nin wakat asubuhi umenipita bila salam,, siku hz umekua na dharau sana, hvo vimiambili mia mbili vinakuchanganya"

Yani kwa kifupi aliongea kinoma....nikaona niingie zangu ndani tu, ile nimeshangaa sana,

Sasa sijui nyie watu wa humu ndani katika swala LA kutoa shikamoo mnakua mmejiwekea utaratibu gani.
Mana mim mtu akiwa mbali sana siwezaji kupaza sauti kumsalimia kama natangaza salam bhana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huwezi kutoa sauti unaweza tu kupunga mkono kuashiria salamu me ndo hua nafanya

Mtu Mzito HEAVY WEIGHT
 
Huwa naichukia sana hii salamu ya SHIKAMOO sijui huyo aliyeitunga aliwaza nini! Ndio maana kwenye movies za kibongo wanapata tabu sana kuweka subtitle ya kizungu pale wanapoamkiana SHIKAMOO

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpka sa hv sijui kiingereza inaitwaje hii salam.....naskia ilikua salama ya kitumwa enzi za waarabu kitawala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sipendi MTU anisalimie "vipi hali"nahisi imekaa kiswahili swahili!!
Hapo ulipo una uarabu gani ? Wewe ni wale wale tu mnaoita Kigogo uswahilini wakati mkiwa bar mkiingia kwa choo hamflush. I know this pretending type
 
Huwa naichukia sana hii salamu ya SHIKAMOO sijui huyo aliyeitunga aliwaza nini! Ndio maana kwenye movies za kibongo wanapata tabu sana kuweka subtitle ya kizungu pale wanapoamkiana SHIKAMOO

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe tupo wengi, niliazimia kutotumia hii salaam na nilianzia nyumbani kwa wazee nashukuru walinielewa
Umeamkaje
Umeshindaje
Habari etc
(Kutegemeana na mahusiano na rika)
 
Huku tunavyoishi ni nadra kukuta mtu akusalimie bila kukuanbia assalam alayqum, nikajikuta mazoea yamejengeka kiasi sion maana ya shikamoo, lakin wengine usipowapa shikamoo ukawapa assalam alayqum wanaona huwaheshim na kuwadharau

Binafsi siwez kusalimia kwa mbali labda nipunge mkono mtu yule ajue nimepa ishara tu ya salam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom