COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,598
- 3,644
Kwani hujasikia kilichotokea CHADEMA?Mnatamani mtu afe ili mpate kupumua? Mtabili wenu aliwadanganya Maana anayejua kifo ni MUNGU tu
Kwani hujasikia kilichotokea CHADEMA?Mnatamani mtu afe ili mpate kupumua? Mtabili wenu aliwadanganya Maana anayejua kifo ni MUNGU tu
nina mashaka na mtoa post kapost then few.hours limetokea
Mnatamani mtu afe ili mpate kupumua? Mtabili wenu aliwadanganya Maana anayejua kifo ni MUNGU tu
= Mtabiri
Uloi nga mâché68;13969422 said:We mtoto acha uwongo. Dr Omar Juma alifariki 2001 .Haikuwa wakati wa Uchaguzi. Au ndio shule za Kata?
Mgombea akifariki mpinzani anapingwa bila kupingwa
Uloi nga mâché68;13969422 said:We mtoto acha uwongo. Dr Omar Juma alifariki 2001 .Haikuwa wakati wa Uchaguzi. Au ndio shule za Kata?
hichi kikongwe nacho!! mmmm
Sio kweli, uchaguzi utaahirishwa kwa muda wa siku 90. Kwa sababu hiyo Uchaguzi utaahirishwa kwa muda huo katika jimbo la Lushoto Mjini mpaka UKAWA watakapoteua mgombea mwingineMgombea akifariki mpinzani anapingwa bila kupingwa
Huyu mtoa post kwa nn aliuliza 5hrs before Mtoi's death?
Uchaguzi unaahirishwa..kwani unagombea...
Mnatamani mtu afe ili mpate kupumua? Mtabili wenu aliwadanganya Maana anayejua kifo ni MUNGU tu
Una mpango wa kufa? Una mpango wa kumwua mgombea?
mimi swali langu ni je, mgombea akifa wakati wa kampeini na chama chake kikaruhusiwa kuweka mgombea mwingine, vyama vingine vina ruhusa ya kubadili pia? Kuna chama kinatamani kubadili mgombea ndiyo maana ninauliza.
Hivi akifariki mgombea wakati wa kampeni sheria inasemaje wadau?
Chama kina ruksa ya kumuweka mwingine au ndio imetoka?
Akifariki mgombea urais?
Akifariki mgombea ubunge?
Akifariki mgombea udiwani?
Ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa Shilingi bilioni 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa Shilingi bilioni 850 kwa mwezi, mwaka 2014/15