Mfano akifa John hakuna kuahirisha maana hapendwi mpk na mkewe.It depend na uzito wa mgombea
Kwa kuwa huna jibu, hekima ni kunyamaza. Bavicha inaingiaje hapo.Bavicha huwa hamna muda wa kutafuta mnapenda kutafuniwa
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
It depend na uzito wa mgombea maana kusitisha kampeni au kulianzisha zoezi upya ni AGHALI MNO ndg ndoto zako zimeona nini kinakuja mbeleni mdau
ilikuwaje, huna dondoo utuwekee hapaFanya rejea ya uchaguzi wa 2005; mgombea mwenza wa Freeman alifariki uchaguzi ukasogezwa mbele sikumbu ni muda gani lakini ulosogezwa mbele
AiseeeMfano akifa John hakuna kuahirisha maana hapendwi mpk na mkewe.
mimi sipo bavicha wala ccm na hata kura sitashiriki mwaka huu nitaweka tu ndani akiba ya kutosha ya chakulaHivi Bavicha mbona huwa mnajifanya wajuaji kila leo lakini vitu vidogo kama hivi hamvijui? Hivi kwanini hampendi kusoma?
Mkuu usipoteze ukombozi wa Tanzania kampigie Kura Lisu ndo ujifungie ndani.mimi sipo bavicha wala ccm na hata kura sitashiriki mwaka huu nitaweka tu ndani akiba ya kutosha ya chakula
kwa mda gan au itategemea busara za tumeKwani mkuu utaratibu ni kwamba utasogezwa mbele .Mkuu umeona nn
NdioWajuvi naombeni mwenye uelewa na Mambo hayo atufafanulie!
Je, Ikiwa katika wagombea urais ikatokea kafariki kwa mfano! Ni utaratibu gani utaendelea? je uchaguzi utaahirishwa kwa mda gani?
Na ndicho wanataka watawala kitokee ili waahirishe uchaguzi wakajipange upya.Wajuvi naombeni mwenye uelewa na Mambo hayo atufafanulie!
Je, Ikiwa katika wagombea urais ikatokea kafariki kwa mfano! Ni utaratibu gani utaendelea? je uchaguzi utaahirishwa kwa mda gani?
KijaniUmeoteshwa ni rangi gani mkuu??
Akifariki mgombea uraisi au mgombea mwenza uchaguzi utaahirishwa for 30 daysWajuvi naombeni mwenye uelewa na Mambo hayo atufafanulie!
Je, Ikiwa katika wagombea urais ikatokea kafariki kwa mfano! Ni utaratibu gani utaendelea? je uchaguzi utaahirishwa kwa mda gani?
Cha kufurahisha hujataja mtu kabisaMfano akifa John hakuna kuahirisha maana hapendwi mpk na mkewe.
Hapo naona CCM wanataka kumtoa kafara Mbatia!Wajuvi naombeni mwenye uelewa na Mambo hayo atufafanulie!
Je, Ikiwa katika wagombea urais ikatokea kafariki kwa mfano! Ni utaratibu gani utaendelea? je uchaguzi utaahirishwa kwa mda gani?
Sio kosa lako...you are sexless, as we all know sex ni tiba ya bichwa lakoMfano akifa John hakuna kuahirisha maana hapendwi mpk na mkewe.
Je hii Ina apply na kwa Mgombea urais pia au ni wagombea wenza tuAkifariki mgombea uraisi au mgombea mwenza uchaguzi utaahirishwa for 30 days
Refer 2005 ,mgombea mwenza wa Kamanda Mbowe alitutoka
Uchaguzi ukafanyika November