Sheria inasemaje akifariki mgombea?

Sheria inasemaje akifariki mgombea?

Wagombea wote hichi.kipengele kipo kwenye ule mkataba na tume ya uchaguzi ndo maana wamesaini kwa msaada.zaidi muone mgombea wako atadadavua zaidi
 
Mkuu mbona kama unafanya kile lowasa alichokiita mental preparedness
 
Kama sikosei 2005 uchaguzi ulisogezwa mbele kuna mgombe mwenza alifariki.
 
Wajuvi naombeni mwenye uelewa na Mambo hayo atufafanulie!

Je, Ikiwa katika wagombea urais ikatokea kafariki kwa mfano! Ni utaratibu gani utaendelea? je uchaguzi utaahirishwa kwa mda gani?

Fuatilia
Edit
Nchi ya Tanzania ilifanya uchaguzi wa urais na ubunge mnamo 4 Desemba 2005. Mapema ulikuwa ulipangiwa kufanyika mnamo 30 Oktoba lakini ukahairishwa kutokana na kifo cha mgombea kiti cha Makamu wa Rais. Uchaguzi huu ulikuwa wa tatu tangu nchi hiyo kurudia mfumo wa vyama vingi mnamo 1992. Pia ulikuwa wa pekee kwa kuwa aliyekuwa rais, Benjamin Mkapa, ambaye alikuwa amehudumu kwa kipindi cha miaka kumi alistaafu kulingana na Katiba. Uchaguzi wa Urais wa Zanzibar na wawakilishi katika jumba la wawakilishi ulifanyika mnamo 30 Oktoba, jinsi ilivyokuwa imepangwa.

DOGO USIWE MVIVU WA KUSOMA.
 
Kipindi Cha mbowe mwaka 2005 mgombea mwenza wake mzee jumbe alifariki ikiwa bado wiki mbili kufikia uchaguzi..uchaguzi ulisogezwa mbele kwa mwezi mmoja ili kuwapa nafasi chadema kupata mgombea mpya na kupiga kampeni..
 
Hivi akifariki mgombea wakati wa kampeni sheria inasemaje wadau?
Chama kina ruksa ya kumuweka mwingine au ndio imetoka?
Akifariki mgombea urais?
Akifariki mgombea ubunge?
Akifariki mgombea udiwani?

Mtoa post inabidi utafutwe utueleze mtoi wetu umempeleka wapi.

Hivi akifariki mgombea wakati wa kampeni sheria inasemaje wadau?
Chama kina ruksa ya kumuweka mwingine au ndio imetoka?
Akifariki mgombea urais?
Akifariki mgombea ubunge?
Akifariki mgombea udiwani?
 
Attachments

  • IMG_20200924_215136.jpg
    IMG_20200924_215136.jpg
    42.9 KB · Views: 7
Kwa Mujibu wa TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI wamerejea Kifungu cha 49 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343,
Nanukuu "endapo Msimamizi wa Uchaguzi atajiridhisha kuwa Mgombea yeyote amefariki baada ya saa kumi kamili (10:00) jioni ya siku ya Uteuzi na kabla ya muda wa mwisho wa upigaji kura, atasitisha Uchaguzi na kupanga tarehe nyingine ya Uteuzi wa Mgombea wa Chama ambacho Mgombea wake amefariki."
 
Fuatilia
Edit
Nchi ya Tanzania ilifanya uchaguzi wa urais na ubunge mnamo 4 Desemba 2005. Mapema ulikuwa ulipangiwa kufanyika mnamo 30 Oktoba lakini ukahairishwa kutokana na kifo cha mgombea kiti cha Makamu wa Rais. Uchaguzi huu ulikuwa wa tatu tangu nchi hiyo kurudia mfumo wa vyama vingi mnamo 1992. Pia ulikuwa wa pekee kwa kuwa aliyekuwa rais, Benjamin Mkapa, ambaye alikuwa amehudumu kwa kipindi cha miaka kumi alistaafu kulingana na Katiba. Uchaguzi wa Urais wa Zanzibar na wawakilishi katika jumba la wawakilishi ulifanyika mnamo 30 Oktoba, jinsi ilivyokuwa imepangwa.

DOGO USIWE MVIVU WA KUSOMA.
Baada ya Mkapa kustaafu nani alichukua madaraka ya kuongoza nchi ?
 
Back
Top Bottom