Sheria inasemaje akifariki mgombea?

Ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa Shilingi bilioni 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa Shilingi bilioni 850 kwa mwezi, mwaka 2014/15
Vipi kuhusu thamani ya shilingi?

2010 billion 390 ilikuwa Sawa na $ dola ngapi na Sasa hiyo billion 850 Sawa $ dola ngapi.?

Au ndio yaleyale ya kushusha viwango vya ufaulu ili wafaulu wengi.!
 
mbona ujaelezea matumizi yake yanakwenda wapi? Kama sio kwenye kula na kulipana mishaara?

Hivi wewe una duka alafu unawekeza kidogo unakula sana. Hapo unafanya biashara au unafanya kula?

Bila kula na kulipana mishahara kuna faida gani ya kuingiza kipato?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
hiyo hapo
 

Attachments

  • 1442134400312.jpg
    1442134400312.jpg
    9.2 KB · Views: 378
Muda Wa kampeni huongezwa,kumbuka yule makamu Wa rais hayati OMARY Juma,alikuwa mgombea mwenza Wa Rais Mkapa

mmmh sio kweli kama Dr Omar alikufa wakati wa kampeni. kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba Dr Omar Ali Juma hakufa wakati wa kampeni bali 2001 wakati uchaguzi ukiwa umeisha mwaka 2010. Mfano mzuri ni yule aliyekuwa mgombea mwenza wa Mbowe na CHADEMA uchaguzi wa 2005.
 
Kwanza mimi ni pro CHADEMA/UKAWA na Marehemu Mohamedi Mtoi japo hatufahamiani physically ni mtu ninatemheshimu ndani ya CDM kwa hekima zake nyingi
Mimi sio mwanasiasa na niko Shinyanga. Sina competition ya aina yeyote na Mtoi. Mimi sikujua hata anagombea jimbo la lushoto mpaka niliposikia taarifa ya kifo chake
Pia ni member mwenzangu katika group la google mabadiliko tanzania

Hii post.niliweka kwa kusingatia hekima ya kawaida tu kuwa yaweza ikatokea mgombea akafa wakati wa kampeni

Just a coincidence swali limefuatana na kigo cha jemadari wa Mabadiliko

Kifo cha Mtoi ni pigo kwangu kama ilivyo kwa wapenda mabadilko wezangu wote
Soma post zangu au commenta zangu za nyuma

Pia nilishauri uchumguzi huru wa chanzo cha ajali ile isine kuwa ni hujuma za kisiasa
 
Lengo kuu la kuuliza swali hili ni kujua sheria inasemaje na kama ni dhaifu wadau tuweze kuilazimisha mamlaka kuweka sheria bora Aidi

Sheria ikiwa mbaya kwenye eneo nyeti kama hili laweza kuhatarisha uhai wa wagom ea

Jamiiforums ni arena ya critical thinkers kwa hiyo ninategemea kupata critical responses na sio hisia binafsi

Chomde chonde
 
Mabadilikogroup wamenijubu kuwa uchaguzi unasogezwa mbele kutoa nafasi kwa cham husika kumteua mgombea mwingine
 
Hiki kizazi cha Malofa na Wapumbavu kweli kina laana. Mleta mada kauliza vizuri tu tena nahisi ni baada ya mgombea wa jimbo la Lushoto Mohammed Mtoi kufariki kwa ajali usiku wa kuamkia leo. Anataka kufahamu kuna utaratibu upi endapo tukio kama hili linapotokea lkn mnamshambulia kwa kejeli!! Shenzytype

Acha uzumbukuku angalia aliuliza lini na Kamanda wetu alifariki lini au ndo utabiri wa wanaCCM umeamka tu unajibu bila kuangalia...alikuna mguu kabla haujawasha.. kama wewe unavyokuna mguu wakati uliwasha siku tano zilizopita..sasa uchaguwe mie lofa wewe si ni mjinga sio
 
Acha uzumbukuku angalia aliuliza lini na Kamanda wetu alifariki lini au ndo utabiri wa wanaCCM umeamka tu unajibu bila kuangalia...alikuna mguu kabla haujawasha.. kama wewe unavyokuna mguu wakati uliwasha siku tano zilizopita..sasa uchaguwe mie lofa wewe si ni mjinga sio

Mtko yako rudia kusoma.
 
Lembu unajua nini kuhusu kifo cha kamanda?

Sijui chochote, sijawahi shiriki kwenye shughuli za vyama mimi niko Shinyanga mpiga kura wa kawaida. Nimetoa general comments huko mbele na nasikitika imekuwa coincidence nauliza swali then kifo cha kamanda inatokea. Ingekuwa CCM mngeniahuku kwani naichukia. Mimi mabadiliko tangu 1992 wakati wa kura za maoni
Mtoi was my admirer and role modal wa siasa za kistaarabu. Imeniuma sana kwa taarifa ya kifo chake
 
Wajuvi naombeni mwenye uelewa na Mambo hayo atufafanulie!

Je, Ikiwa katika wagombea urais ikatokea kafariki kwa mfano! Ni utaratibu gani utaendelea? je uchaguzi utaahirishwa kwa mda gani?
 
It depend na uzito wa mgombea maana kusitisha kampeni au kulianzisha zoezi upya ni AGHALI MNO ndg ndoto zako zimeona nini kinakuja mbeleni mdau
 
Wajuvi naombeni mwenye uelewa na Mambo hayo atufafanulie!

Je, Ikiwa katika wagombea urais ikatokea kafariki kwa mfano! Ni utaratibu gani utaendelea? je uchaguzi utaahirishwa kwa mda gani?
Ndiyo, pia mgombea mwenza
 
Back
Top Bottom