Sheria inasemaje akifariki mgombea?

Sheria inasemaje akifariki mgombea?

Muda Wa kampeni huongezwa,kumbuka yule makamu Wa rais hayati OMARY Juma,alikuwa mgombea mwenza Wa Rais Mkapa

Usichanganye mambo tafadhali! Mbona yule Omari alikufa 2001 wakati uchaguzi umefanyika 2000?
Jibu lake ni tarehe ua Uchaguzi husogezwa mbele na kupewa nafasi chama husika kumteua mgombea mwengine.
 
Hivi akifariki mgombea wakati wa kampeni sheria inasemaje wadau?
Chama kina ruksa ya kumuweka mwingine au ndio imetoka?
Akifariki mgombea urais?
Akifariki mgombea ubunge?
Akifariki mgombea udiwani?

We jamaa unawezaje kuja kuwa mganga wa kienyeji. Masaa machache baada ya bandiko lako camander muhammed Mtoi anatutoka.
 
Last edited by a moderator:
Endapo Moja wapo ya wagombea wa nafasi hio ataaga dunia kwa vyovyote Uchaguzi utaairishwa mpaka siku tisini zipite,
 
Lakini mtoa mada inabidi utafutwe kwanini uulize jambo hili muda mchache kifo kitokee?
 
Mtoa mada inabidi upigwe pinch ueleze ukweli nia ya bandiko lako.
 
Muda Wa kampeni huongezwa,kumbuka yule makamu Wa rais hayati OMARY Juma,alikuwa mgombea mwenza Wa Rais Mkapa

Uloi nga mâché68;13969422 said:
We mtoto acha uwongo. Dr Omar Juma alifariki 2001 .Haikuwa wakati wa Uchaguzi. Au ndio shule za Kata?

Ilikuwa 2005 alifariki mgombea mwenza wa Chadema siyo wa CCM Kama mdau hapo alivyosema
 
Hivi akifariki mgombea wakati wa kampeni sheria inasemaje wadau?
Chama kina ruksa ya kumuweka mwingine au ndio imetoka?
Akifariki mgombea urais?
Akifariki mgombea ubunge?
Akifariki mgombea udiwani?

Ulikuwa unafaham Mtoi atatutoka?

a complicated case!!!!!
 
Hawa jamaa nimabingwa kuandaa watu kisaikolojia. Hapa tunatengenezwa iliwanapotoweshwa ionekane kawaida.

Siajambu mlengwa wao bado hii inaudhi sana.
 
Huyu mtoa post kwa nn aliuliza 5hrs before Mtoi's death?
Inawezekana ana 'mkono' wake na kifo hicho.

Itabidi huyo jamaa akamatwe ili aisaidie polisi kutoa ushahidi unaoonyesha 'connection' yake na kifo hicho.
 
Aliyefariki kipindi cha kampeni mwaka 2005 alikuwa mgombea mwenza wa Mhe.Mbowe na uchaguzi ulisogezwa mbele kwa muda wa mwezi mmoja. Acheni kuropoka kama hamkuwepo kaeni kimya tuwajuze.

kwahiyo iuchaguzi mkuu utasogezwa mpaka november?
 
Una mpango wa kufa? Una mpango wa kumwua mgombea?
mimi swali langu ni je, mgombea akifa wakati wa kampeini na chama chake kikaruhusiwa kuweka mgombea mwingine, vyama vingine vina ruhusa ya kubadili pia? Kuna chama kinatamani kubadili mgombea ndiyo maana ninauliza.

Ameshafariki Mohammed Mtoi usiku huu. Mgombea wa Ubunge. Tusubiri mwongozo.
 
Last edited by a moderator:
Inakuwaje mtu anaulizia kitu afu kinatokea, je alipanga afu ndio akauliza?
 
nina mashaka na mtoa post kapost then few.hours limetokea
Sidhani kama kuna uhusiano. Kauliza akifa Rais (jiulize tuna wagombea wangapi?), kauliza wabunge (jiulize tuna wagombea wangapi?), na kauliza madiwani (tuna wagombea lukuki). Je, angekufa mgombea yeyote wa udiwani bado tungekuwa na hisia kama hizi? Naamini uchaguzi wetu haumfanyi Mungu au shetani kuwa likizo.
 
Sheria inasema mgombea akifa,AZIKWE.

Then chama kinapeleka jina jingine NEC na muda wa kampeni unaongezwa ili jamaa ajinadi vyema kwa wapiga kura.
 
Back
Top Bottom