anafikiria jinsi atakavyonyongwa mchana kweupeeee!!!
nipo nafuatilia kwa ukaribu sana....ila kuna kitu kimenichanganya...
wakati rais anakagua vikosi.....kuna jamaa mmoja amevaa suti alikuwa nae anapita pita zig zag ....huyu ni nani hasa....? mbona sijawahi kumuona tena siku nyingine....? kazi yake pale ilikuwa ni nini...? kwa sababu rais alikuwa amefuatana na wanajeshi wawili tayari......
Aliyekupa kazi ya kututangazia nani?? acha kiherehere!!Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein ndio ameingia.
Karibuni ndugu zangu tusheherekee miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam
hata kama watz wote wangekuwa ni wezi bado tu angelazimika kubadilisha ili na wengine waibe....hii nchi ni ya wote..sasa kwa nini aache wachache waibeee....mpaka wawe na matumbo makubwa kama ya mnyama kombaNimeona umesema asilimia kubwa ni WEZI. Good thing ni kwamba kuna asilimia NDOGO ambao sio wezi. Hoja ya msingi hapa ni aondoe wezi aweke wasio wezi. Kama hoja yako ingekuwa watanzania WOTE ni wezi labda ndio ingeleta sense.
Hawa vijana wa halaiki nimewapenda sana. Wamefanyiwa maandalizi mazuri
Mkuu kinachompa mawazo ni hiki hapa, anatafakari hatima ya huo muungano:-Wana JF, Nimejaribu kumwangalia kwa umakini JK kwenye sherehe ya muungano, tofauti na tulivyomzoea ameonekana mwenye mawazo sana!!, namshauri avunje baraza lake leo au kesho ili arudi normal!!
stupid argument
wanotaka avunje baraza ni wapuuzi wachache? how. kwa hivo waliobiwa ni wapuuzi?
umefurahia sana uozo wa mawaziri hadi unadiriki kuwaita watanzania wapuuzi enheee??
i wish i had a gun watu kama ww hmfai kuishi Tanzania
nipo nafuatilia kwa ukaribu sana....ila kuna kitu kimenichanganya...
wakati rais anakagua vikosi.....kuna jamaa mmoja amevaa suti alikuwa nae anapita pita zig zag ....huyu ni nani hasa....? mbona sijawahi kumuona tena siku nyingine....? kazi yake pale ilikuwa ni nini...? kwa sababu rais alikuwa amefuatana na wanajeshi wawili tayari......
Wadau je kuna kiongozi yeyote wa makao makuu Cdm alihudhuria sherehe hizo? Je inaleta tafsiri gani kama viongoz wa cdm hawahudhurii sherehe kama hizi za kitaifa.
Viongozi wako bize kusherekea muungano lakini ukiwauliza wananchi wa pande zote mbili wala hawana time nao.
Mawazo yake anapanga kwenda ziara yake ya kikazi ufaransa.