Mtanganyika mweusi
Member
- Apr 26, 2012
- 34
- 3
Napenda kufahamu najua unapombelea mwenzio wakati ana shughuri pia utakapo pata ya kwako kiutu kuja kushirikiana nawe.
Vasco Dagama amekuwa mtu wa kutembelea wenzake hasa kwenye hiyo minuso hata kama hakualikwa basi ataomba mwaliko.
Nauliza leo nani kamtembelea??
Vasco Dagama amekuwa mtu wa kutembelea wenzake hasa kwenye hiyo minuso hata kama hakualikwa basi ataomba mwaliko.
Nauliza leo nani kamtembelea??