Wewe hujamuona vizuri, na ninaomuomba Rais asisikilize maneno ya watapatapaji, nashauri asivunje baraza lake. Kwa nini ninasema hivi, sababu kubwa ni kwamba asilimia kubwa ya watu ni wezi, sema tu wengine hawapo karibu na vyanzo vya kuibia lakini wakikabidhiwa sekta ndipo utakapowajua kile ambacho hasa wanacho ndani ya nafsi zao. Dr Kikwetwe, nakuomba usivunje baraza lako maana ukivunja kutokana na shinikizo la wapuuzi wachache, utachagua wengine ambao nao watakuja waibe vilevile, je, hapo pia ikishinikizwa utavunja? ukivunja sasa hivi, utavunja baraza mara ngapi kutokana na shinikizo?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".