kiprotokali, kwa kuwa ni waziri mkuu mstaafu(aliyejiuzulu) anatakiwa awepo ktk shughuli za kitaifa za serikali. Ndo utaratibu wa kiserikali, dunia nzima. Si kila mahali, unaweka siasa. Lowasa ni kiongozi. Kama hayupo, basi lazima atakuwa na udhuru.
nipo nafuatilia kwa ukaribu sana....ila kuna kitu kimenichanganya...
wakati rais anakagua vikosi.....kuna jamaa mmoja amevaa suti alikuwa nae anapita pita zig zag ....huyu ni nani hasa....? mbona sijawahi kumuona tena siku nyingine....? kazi yake pale ilikuwa ni nini...? kwa sababu rais alikuwa amefuatana na wanajeshi wawili tayari......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.