Hivi nyinyi mna akiri kweli, ni watanzania kweli nyinyi< mmezaliwa hosp kweli au mmezaliwa gest mbona mnatoa mawazo yaliyo kosa mwelekeo yaani jamii forum sasa hivi inaboa hakuna wazo la maana kilichojaa hapa ni chadema,chadema chadema chadema na sisi tusio wanasiasa mnatuboa lawamatu kila kitu simuanzishe forumu yenu wana chadema?
Mnakosoa gwaride nyinyi mnajua gwaride la kwetu ni kwa mfumo gani, unajua tofauti ya magwaride ya corea na la kwetu kama hujui unatakiwa kuuliza kwanza gwaride siyo kama mambo yenu ya kijinga mnayoandika humu ebo!!!