Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

Hoja dhaifu hiyo. Chadema ukiwaona wanavyosema utadhani wamaana. kumbe 0

Mods; Huyu jamaa anatutafutia BAN. Mi nimekoswakoswa na BAN na ninamshukuru Mods aliyerekebisha post yangu kunaneno nililiweka kwa hasira lakini kwa kuwa Mods wanajua akili za watu kama umekosea wanajua na kama umeweka kwa hasira wanajua. Sasa Mpesapesa usitusababishie BAN kwanza umekuja juzi tu na sasa kwa uroho wako wa posho za NEPI unataka sisi tupigwe BAN.
 
Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu.


Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na Kunywa. kula na vigelegele juuu.
huku wabunge wake wakijifanya wanalia Kilio cha Kudangaya, Kumbe Jioni wanakimbilia DANSI kukata kucheza, kuimba na Kupiga bia.

watz tushukuru na tuamke kwamba Mungu ametuonyesha Mapema jinsi wanasiasa hasa Chadema wasivyojali watu


KESHO MAGAZETI MENGI YATATOA TAHAHARIRI NA PICHA ZA DK SLAA AKIPIGA MZIKI HUKU TAIFA LIKIWA KWENYE MAOMBOLEZI


z3.jpg
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimsikiliza mmoja wa walionusurika katika ajali ya meli jana Bw Kitwana Makama Haji ambaye kalazwa katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja leo July 19, 2012

DSC_1137.JPG
Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli iliozama na kukosa watu wake zikipelekwa kuzikwa na Serikali katika Eneo la Kama lililotayarishwa makusudi kwa ajili hio.


MY TAKE.
HAPA KAMA DK SLAA ANGALIKUWA NDIO RAIS TUSHALIWA KICHWA WAZT. KIKWETE JUU YA UDHAIFU WAKE TUNAOLAZIMISHWA TUMAINI NA CHADEMA. LKN WA DK SLAA KUBURUDIKA LEO NI WAZI SIO UDHAIFU WA KIUTENDAJI BALI NI UDHAIFU WA ROHO


ulisikia wapi kwamba burudani ni kwa ajili ya wana CDM pekee? Wanaokwenda kunywa ni cdm peke yao! Ama kweli ulimbo huwanasa ndege wageni! Mi sidanganyiki na inaonekana bongo lako ni sawa na lijimashine la kuchakachua meseji la hao ndugu zako 'wasokwenda dansi' - simaanishi kuwa nasapoti wao kwenda dansi katika kipindi hiki kigumu kww wafiwa ila kuwashutumu watu fulani tu kwamba ndo wanafanya hivyo ni 'ulimbombo' huo.
 
Kwa hiyo ndg. Mpesapesa unataka kutuambia kuwa hii ajali ya meli imesababishwa na ccm kwa makusudi ya malengo ya kisiasa ili kuiweka ndoa ya dr. Slaa katika majaribu? Tunashkuru kwa taarifa.
 
mods; huyu jamaa anatutafutia ban. Mi nimekoswakoswa na ban na ninamshukuru mods aliyerekebisha post yangu kunaneno nililiweka kwa hasira lakini kwa kuwa mods wanajua akili za watu kama umekosea wanajua na kama umeweka kwa hasira wanajua. Sasa mpesapesa usitusababishie ban kwanza umekuja juzi tu na sasa kwa uroho wako wa posho za nepi unataka sisi tupigwe ban.

ndio hao hao mnaotumia keyboard ktk mapambao. Huna sawa na kiongozi wako mchana binaadamu usiku binaadama
 
kwa hiyo ndg. Mpesapesa unataka kutuambia kuwa hii ajali ya meli imesababishwa na ccm kwa makusudi ya malengo ya kisiasa ili kuiweka ndoa ya dr. Slaa katika majaribu? Tunashkuru kwa taarifa.

chadema kwa unafiki. Bungeni kwa kuwa wanajua kuna tv zinawaonyesha utawaona wanavyojifanya.sasa hivi wanapiga bia, muziki na dansi
 
ndio hao hao mnaotumia keyboard ktk mapambao. Huna sawa na kiongozi wako mchana binaadamu usiku binaadama

Nashukuru kwa uthibitisho kuwa Meli imezamishwa kwa hali ya kisiasa baina ya CCM VS CHADEMA. Hivyo Chama Cha Mabwepande mmezamisha meli ili watu waende kweny misiba badala ya kwenda kwenye Harusi ya DR. Slaa. Nashuruku kwa kunijuza.
 
hayo nayo ni mawazo ya mtanzania mpenda maendeleo na anayechukia umaskini alio nao nawatanzania wote walala hoi
 
Kijana acha hoja dhaifu hii ni kweli kabisa wao wametoka Bungeni kesho SILAA anaoa kwa sherehe wakati Taifa liko kwenye maombolezo je huyu mtu anauchungu kweli na Watanzania? Be a great thinker na Bwana atakuonesha njia

Mchungaji tunaomba sadaka yote ya jumapili upeleke ofisi ya waziri mkuu kama msaada kwa wahanga wa ajali ya meli. Usitupige sound na maneno matupu wakati tuko kwe maombolezo na watu wanahitaji msaada.
Unapiga debe hapa wakati ukienda eneo la tukio unawaombea waathirika gagari halafu unawaambia watoe sadaka wewe hujapata tatizo lolote unaondoka nazo?
 
Nimeshangazwa sana na mada hii....tujiulize,harusi ngapi zimefanyika na zitafanyika katika kipindi hiki?Je nani asiyejua kwa utaratibu wa kijamii,harusi zina gharama na watu uchanga.....unadhani ni rahisi tu kuahirisha vitu kisa kushindwa kwa SUMATRA kutekelea majukumu yake ya kukagua?Taifa limepoteza watu sawa,lakini hii haizuii mambo mengine kuendelea kwa kweli..... MTAZAMO huru
 
Last edited by a moderator:
Kijana acha hoja dhaifu hii ni kweli kabisa wao wametoka Bungeni kesho SILAA anaoa kwa sherehe wakati Taifa liko kwenye maombolezo je huyu mtu anauchungu kweli na Watanzania? Be a great thinker na Bwana atakuonesha njia

Wewe unanitafutia ban ngoja nikuache...
 
Mbona ninyi mlitaka Bunge liahirishwe kijana katika Bwana una macho lakini huoni una masikio lakini husikii kwa kweli unahitaji maombezi

hivi chadema ndiyo inaoa au dr slaa ndiyo anaoa..timu ya mafunzo jana imecheza na yanga leo imecheza wao hawaombolezi..ccm ilala jana walifanya sherehe kubwa wao hawaombolezi..
 
Mpesapesa achana na hao vilaza kesho tupe habari kamili

Chama
Gongo la mboto DSM
 
hivi chadema ndiyo inaoa au dr slaa ndiyo anaoa..timu ya mafunzo jana imecheza na yanga leo imecheza wao hawaombolezi..ccm ilala jana walifanya sherehe kubwa wao hawaombolezi..

hapa unaoenekana unafiki wa viongozi wakuu wa chama chenu
 
Ikiwa imetokea msiba (mf. amefariki jamaa yako wa karibu kabisa kama baba/mama), na ikawa kabla ya hapo ulishapanga siku hio uoe/uolewe, dini zinaturuhusu kuoa/kuolewa kwanza kabla ya kumzika maiti wako. Atachukia na kupika majungu yule tu aliyekoseshwa mwaliko.

Hongera sana Dk.
 
Join Date : 19th July 2012
Posts : 92
Rep Power : 319
Likes Received 6
Likes Given 1

Dogo kajipange upya!!
 
Mpesapesa, hii haisaidii tena mjini hueleweki kijijini hutakiwi Cameron kakubana amua moja
 
Back
Top Bottom