Kwa utawala huu mgumu na wenye udikteta Dk. Slaa aliyekuwa katibu mkuu CHADEMA asingeweza hata kufanya mikutano ya ndani

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Wakuu kwema?

Kuna watu sometimes wanawalaumu viongozi wa upunzani hasa CHADEMA wakisema kuwa ni wadhaifu katika kukijenga chama chao.

Wakati mwingine husema kuwa angekuwa Dk.Slaa angeenenda na kunena kwa ujasiri.

Huu utawala Dk. Slaa asingeweza hata kuunyooshea kidole.

Aliweza Sikh hizo ambazo kila mtu alikuwa na uwezo kunena lolote.

Dk. Slaa ni mwepesi sana. Angehamia CCM mapema sana.

Utawala huu uko imara sana.

Mpaka wakuu wa vyombo vya ulinzi wanamwinamia mkuu.

Wafanyakazi hata kutishia kuandamama wameshindwa pamoja na kuminywa vilivyo.

Wamachinga watu waliojaa fujo hawawezi hata kuthubutu kutia kelele.

Huu ni utawala wa kifalme, mwenye nguvu ni mmoja tu.

Nawapa hongera wapinzani wanaoweza hata kusimama na kuonyesha palipopinda.
 
Jiwe ni muuaji anatafuta kila sababu ya kumwaga damu, nashukuru upinzani umeliona hili, unaona kabisa anawachokonoa kwa makusudi labisa wapinzani ili wareact apate nafasi ya kumwaga damu, isio na hatia.
 
Jiwe limemwaga damu nyingi sana huko rufiji na pwani. Mpaka tumezalisha vikundi nya kigaidi huko Msungiji.
 
Wakuu kwema?

Kuna watu sometimes wanawalaumu viongozi wa upunzani hasa CHADEMA wakisema kuwa ni wadhaifu katika kukijenga chama chao.

Wakati mwingine husema kuwa angekuwa Dk.Slaa angeenenda na kunena kwa ujasiri.

Huu utawala Dk. Slaa asingeweza hata kuunyooshea kidole.

Aliweza Sikh hizo ambazo kila mtu alikuwa na uwezo kunena lolote.

Dk. Slaa ni mwepesi sana. Angehamia CCM mapema sana.

Utawala huu uko imara sana.

Mpaka wakuu wa vyombo vya ulinzi wanamwinamia mkuu.

Wafanyakazi hata kutishia kuandamama wameshindwa pamoja na kuminywa vilivyo.

Wamachinga watu waliojaa fujo hawawezi hata kuthubutu kutia kelele.

Huu ni utawala wa kifalme, mwenye nguvu ni mmoja tu.

Nawapa hongera wapinzani wanaoweza hata kusimama na kuonyesha palipopinda.
Let me tell you. Dr Slaa Ana theology usiyonayo wewe . Hivyo bado angesimama kidete.
Tatizo Akili zenu zimedata
 
Watu kama ninyi mmeharibu Hili Jukwaa, mnamdanganya invisible.
So I want you to know mnachoandika you need to be delivered from ignorance
 
Your flesh need to be changed and glorified.
Mtaelewa njia mbadala na proper way kukosoa.
Ila kwa sisi tunaoukubali utendaji matusi yote tutayajibu kwa matusi na ole wake moderator Anifungie. Experience is the best teacher.
 
Back
Top Bottom