Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

Kwahiyo kesho hapatakuwa na Ndoa yeyote inayofungwa?

Sherehe ambazo hazifai wakati huu wa maombolezo ni za kiserekali na kichama.

Lakini Ndoa ni swala binafsi.

Hongera Mheshimiwa sana Rais wa moyo wangu kufunga ndoa.
 
Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu.

Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na Kunywa. kula na vigelegele juuu.
huku wabunge wake wakijifanya wanalia Kilio cha Kudangaya, Kumbe Jioni wanakimbilia DANSI kukata kucheza, kuimba na Kupiga bia.

watz tushukuru na tuamke kwamba Mungu ametuonyesha Mapema jinsi wanasiasa hasa Chadema wasivyojali watu

KESHO MAGAZETI MENGI YATATOA TAHAHARIRI NA PICHA ZA DK SLAA AKIPIGA MZIKI HUKU TAIFA LIKIWA KWENYE MAOMBOLEZI
Haya ni maneno unapaswa kuzungumza na mke wako nyumbani si mbele ya wanaume
 
Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu.

Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na Kunywa. kula na vigelegele juuu.
huku wabunge wake wakijifanya wanalia Kilio cha Kudangaya, Kumbe Jioni wanakimbilia DANSI kukata kucheza, kuimba na Kupiga bia.

watz tushukuru na tuamke kwamba Mungu ametuonyesha Mapema jinsi wanasiasa hasa Chadema wasivyojali watu

KESHO MAGAZETI MENGI YATATOA TAHAHARIRI NA PICHA ZA DK SLAA AKIPIGA MZIKI HUKU TAIFA LIKIWA KWENYE MAOMBOLEZI

This is a baby in diaper thinking. Mbona hujaonyesha unachotaka kusema
 
Haiwezekani watu tunaomboleza jamaa anaoaaaa Daaaaaaamnnnnnnnn!!huu ni ubinafsi wa hali ya juu

Jaman mnajua jinsi harusi za Kikristo zinavyopangwa au mnaweweseka.Harusi ikishapangwa maandalizi yote muhim ni ngumu kuomba kuhairisha.
 
jaman mnajua jinsi harusi za kikristo zinavyopangwa au mnaweweseka.harusi ikishapangwa maandalizi yote muhim ni ngumu kuomba kuhairisha.

acha kudanganya. Au wamekufa waislam wengi ambao chadema wanaona sio mtaji wao?
 
Wewe MPESAPESA usituletee kichefuchefu hapa. Yeye Dr. aache kufanya ndoa yake kwa sababu ya udhaifu na ulegelege wa mamlaka zenu. Hiyo meli ilikatazwa isifanye kazi maana haina viwango, huko Zenj wakaona inafaa!!! Sasa uzembe ufanye mtu akatishe mipango yake. Halafu sijui na wewe ulisoma wapi, disasters are unforeseen sasa wao walijua meli ingepata ajali. Use your common sense. Wakikutuma hapa waambie kule kwenye lile jamvi kuna watu wana akili sana si kijiwe cha kahawa hapa. Kuna wasomi ndani ya jamvi hili na udaku ondoa kabisa. Toka.
 
Hoja dhaifu hiyo. Chadema ukiwaona wanavyosema utadhani wamaana. kumbe 0
 
Maana sijawahi sikia chama chochote cha kisiasa kikioa ila mwanamke/mwanaume kaoa au kuolewa
Dont rule it out my friend, yawezekana kabisa viko vyama vinaoa/vinaolewa...remember CCM/CUF?
 
Hoja dhaifu hiyo. Chadema ukiwaona wanavyosema utadhani wamaana. kumbe 0

Wewe ndo huna akili. Unafananisha matukio yasiyotarajiwa na mipango ya watu. Nenda shule. huyo aliyekutuma si alikusomesha shule za kata? Rudi Ngumbaro.
 
Kwa hiyo ndoa, vipaimara, hitma, nk vimesimamishwa? Kweli akili zako ndogo.
 
Mleta maada akili zako ni sawa na Zitto kabwe kwani wote hamna Mungu.
Full stop.
 
Kashakimbia MPESAPESA huyo walimtuma tangu jana. Mtu aache kufunga ndoa eti maafa. Kwani ndoa yake ni ya kitaifa au ni personal affair? Inahusu nini ajali ya meli? Dr. amesikitika kama wewe na mimi na yule tulivyosikitika and no more questions. Do not come here to test waters, you will be drawn by your own words.
 
Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu.

Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na Kunywa. kula na vigelegele juuu.
huku wabunge wake wakijifanya wanalia Kilio cha Kudangaya, Kumbe Jioni wanakimbilia DANSI kukata kucheza, kuimba na Kupiga bia.

Join Date : 19th July 2012
Posts : 72

Rep Power : 315
Likes Received6
Likes Given0

Yaani wewe Kenge Mpesapesa umeongezeka katika orodha ya vijana wa Nepi hiyo posho za kukimbilia kujiunga humu ndani ili muweke ujinga wenu mmekwama. Wewe huelewi kwamba hatua za harusi huwa ni za muda mrefu lakini pia mbona ****** kampa pole mwenzake wa Zenji wakati na yeye kafiwa? Pia mbona bibi yenu alikataa kuhairisha Bunge kisa tu aliyetoa hoja si wa Chama chenu cha Mabwepande! Ukome tena ukome kufuatilia harusi za watu kama vipi kaolewe na wewe.

wewe umekaa Jf miaka yote unashabikia CHADEMA. CHAMA GANI HAKIJALI WATU?
 
Back
Top Bottom