Lowassa/CHADEMA wanateswa na dhambi ya kumdhihaki na kumdhalilisha Dk. Slaa

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,976
Baada ya Dk. Slaa kutangaza kukaa pembeni katika uongozi ndani ya CHADEMA, kuna wananchi wenye fikra pana walihoji busara na hekima za viongozi wakuu wa CHADEMA kama Mbowe kuanza kumshambulia na kumkejeli Dk. Slaa kwa kutumia maneno ya kiingereza wakisema ''Time and tide wait for no man'', kwa lugha nyingine, mafuriko ya Lowassa hayasubiri mtu yoyote! Wachungaji fake kama Gwajima waliotumwa na Lowassa walitumia njia zote kuhakikisha wananchi wasisikie kilio cha Dk. Slaa kinachosema CHADEMA imepoteza mwelekeo.

Regardless of any factors or reasons Mbowe and his cohort think of, Dk. Slaa have an inherent and immeasurable worth and dignity for what has done in CHADEMA and our nation as a whole. Kilio cha Dk. Slaa kisingepita katika macho ya Mwenyezi Mungu bila kupata majibu mbadala. Dk. Slaa ameipigania CHADEMA na taifa letu kwa hali na mali.

Matokeo ya Uchaguzi Mkuu kwa tiketi ya Urais kupitia CHADEMA ni jibu mbadala la kilio cha Dk. Slaa kutoka kwa Mwenyezi Mungu! Haya ndiyo yalikuwa majibu ya dhihaka na kejeli kwa Dk. Slaa. Hata vitabu vya Mwenyezi Mungu vinatuambia utalipwa hapa hapa duniani kutokana na matendo yako.

Lowassa na genge lake lote ambalo aliambatana nalo kutoka CCM limepata kipigo kikubwa cha kisiasa. Wametumia countless money and dirty tricks kupata matokeo ambayo ni hasi. Hata wale waliodhani watapata Ubunge kama Mgana Msindai waliangukia pua!

Lowassa is going through a phase just like Augustine Mrema did. Kilio cha Dk. Slaa kitaendelea kumtafuna mpaka afutike katika uwanja wa siasa! God is killing his image, trust and reputation softly. Hata wale wachungaji fake kama Gwajima waliotuambia Lowassa ni kama Joshua wa kwenye Biblia kwa sasa hawataki tena kuyarudia maneno yao ya kilaghai.

Lowassa will not escape the consequences of his actions. As you sow, so shall you reap!

Kwa kumdhihaki na kumkejeli Dk. Slaa, CHADEMA kwa sasa haina political principle, kinadandia kila hoja ya kisiasa ili tu kionekane kipo katika ulingo wa kisiasa.
 
Pigeni kura suala la ulinzi niachieni mimi,kumbe mchongo wa wizi ulikuwa tayari.zanzibar walilala kustuka jecha kafuta uchaguzi
 
Huyu ndo Great Thinker wetu na kichwa chake kilivyomtuma leo aje na thread hii, jamani mpk sasa bado Dr Slaa anangumziwa tu mtu ambaye hata mwnyw hajui gia ya kutokea
 
Hivi Lowassa na Mzee Slaa nani alimdhalilisha mwenzie? Si ndio huyu huyu Mzee Slaa aliitisha Press conference kwa ajili ya kumshambulia Lowassa kwa matusi ya nguoni?
 
Ulitegemea CDM na UKAWA wasikilize hoja za MTU alieandaliwa jukwa, cha kuongea na Mt wa Lumumba? You are not serious.
 
Huko aliko Dr Slaa anawahurumia jinsi walivyochezea bahati yao.
Lowasa alipigiwa kura na wanywa viroba na wale wa kabila lake.

Wengi walijua kuwa kumwamini Lowassa utakuwa umeumia.
 
Huyu ndo Great Thinker wetu na kichwa chake kilivyomtuma leo aje na thread hii, jamani mpk sasa bado Dr Slaa anangumziwa tu mtu ambaye hata mwnyw hajui gia ya kutokea
Mimi siyo great Thinker na sijawahi kusema ni Great Thinker. Hili siyo jukwaa la Great Thinker!

Huu ndio ujumbe wangu nilioamua kuutoa leo bila kujali kama Dk. Slaa hazungumziwi! Nimeamua leo kumzungumzia Dk. Slaa.
 
Wizi wa kura ndiyo siraha pekee ya chama cha zamani
 
Hivi Lowassa na Mzee Slaa nani alimdhalilisha mwenzie? Si ndio huyu huyu Mzee Slaa aliitisha Press conference kwa ajili ya kumshambulia Lowassa kwa matusi ya nguoni?
Matendo ya Lowassa na genge lake ilikuwa ni dhihaka na kejeli kwa Dk. Slaa.

Press conference ya Dk. Slaa ilikuwa ni kujaribu kutoa ushauri kuhusu dhihaka na kejeli zilizokuwa zinaelekezwa kwake kwa kutumia vibaraka wa Lowassa.
 
Mijitu mingine bhana...
Dr. Slaa sio huyu aliyeenda CCM kufusta msaada kwa Mwigulu,Mwakyembe,..nk
Sio huyu aliye andaliwa vipindi viwili Star Tv akashifu na kutukana atakavyo?
Msaliti Ana laana gani? Acha utani
 
Mimi siyo great Thinker na sijawahi kusema ni Great Thinker. Hili siyo jukwaa la Great Thinker!

Huu ndio ujumbe wangu nilioamua kuutoa leo bila kujali kama Dk. Slaa hazungumziwi! Nimeamua leo kumzungumzia Dk. Slaa.

Bibi yako kijijini hujamtembelea unabwabwanya kuhusu Slaa kuna mambo mengi ya maana ya kuzungumzia kusaidia taifa letu sio Slaa, huyo Slaa alivyoitisha press kumponda Lowasa uliona Lowasa akimjibu kitu?
 
Baada ya Dk. Slaa kutangaza kukaa pembeni katika uongozi ndani ya CHADEMA, kuna wananchi wenye fikra pana walihoji busara na hekima za viongozi wakuu wa CHADEMA kama Mbowe kuanza kumshambulia na kumkejeli Dk. Slaa kwa kutumia maneno ya kiingereza wakisema ''Time and tide wait for no man'', kwa lugha nyingine, mafuriko ya Lowassa hayasubiri mtu yoyote! Wachungaji fake kama Gwajima waliotumwa na Lowassa walitumia njia zote kuhakikisha wananchi wasisikie kilio cha Dk. Slaa kinachosema CHADEMA imepoteza mwelekeo.

Regardless of any factors or reasons Mbowe and his cohort think of, Dk. Slaa have an inherent and immeasurable worth and dignity for what has done in CHADEMA and our nation as a whole. Kilio cha Dk. Slaa kisingepita katika macho ya Mwenyezi Mungu bila kupata majibu mbadala. Dk. Slaa ameipigania CHADEMA na taifa letu kwa hali na mali.

Matokeo ya Uchaguzi Mkuu kwa tiketi ya Urais kupitia CHADEMA ni jibu mbadala la kilio cha Dk. Slaa kutoka kwa Mwenyezi Mungu! Haya ndiyo yalikuwa majibu ya dhihaka na kejeli kwa Dk. Slaa. Hata vitabu vya Mwenyezi Mungu vinatuambia utalipwa hapa hapa duniani kutokana na matendo yako.

Lowassa na genge lake lote ambalo aliambatana nalo kutoka CCM limepata kipigo kikubwa cha kisiasa. Wametumia countless money and dirty tricks kupata matokeo ambayo ni hasi. Hata wale waliodhani watapata Ubunge kama Mgana Msindai waliangukia pua!

Lowassa is going through a phase just like Augustine Mrema did. Kilio cha Dk. Slaa kitaendelea kumtafuna mpaka afutike katika uwanja wa siasa! God is killing his image, trust and reputation softly. Hata wale wachungaji fake kama Gwajima waliotuambia Lowassa ni kama Joshua wa kwenye Biblia kwa sasa hawataki tena kuyarudia maneno yao ya kilaghai.

Lowassa will not escape the consequences of his actions. As you sow, so shall you reap!

Kwa kumdhihaki na kumkejeli Dk. Slaa, CHADEMA kwa sasa haina political principle, kinadandia kila hoja ya kisiasa ili tu kionekane kipo katika ulingo wa kisiasa.

Afadhali bundi ana akili kuliko weww
 
Mijitu mingine bhana...
Dr. Slaa sio huyu aliyeenda CCM kufusta msaada kwa Mwigulu,Mwakyembe,..nk
Sio huyu aliye andaliwa vipindi viwili Star Tv akashifu na kutukana atakavyo?
Msaliti Ana laana gani? Acha utani

Slaa ndiyo naaniiii
 
Matendo ya Lowassa na genge lake ilikuwa ni dhihaka na kejeli kwa Dk. Slaa.

Press conference ya Dk. Slaa ilikuwa ni kujaribu kutoa ushauri kuhusu dhihaka na kejeli zilizokuwa zinaelekezwa kwake kwa kutumia vibaraka wa Lowassa.

Ngamia ngamia mwenye nundu
 
Back
Top Bottom