Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,272
Mmmh mimi chichemi kitu hapa!.kwenye koni!! mwwwwh
Mmmh mimi chichemi kitu hapa!.kwenye koni!! mwwwwh
Mbona unamchelewesha uyo shemeji??! Kama vp msugue tu mambo mengine baadae!Mimi naishi na mke wangu na tumejaaliwa kupata watoto wawili. Shemeji yangu baada yakumaliza shule, kaja kuishi nasi nyumbani kwangu, nimemtafutia chuo na anasoma nakurudi nyumbani, lakini maisha yake yamenifanya nizidishe upendo kwake. Kwakuwa mke wangu nimfanyakazi huwa sanyingine anaondoka mapema nakuniacha mimi, mimi ni mfanyabiashara na huwa nasafiri maramojamoja mikoani hivyo nirudipo nyumbani toka mikoani nabaada ya kusambaza biashara zangu, muda mwingi huwa nachelewa kutoka nyumbani na saanyingine nakuwepo tu nyumbani kwaajili yakupumzika jioni ndo huwa natoka. Sasa shemeji yangu huwa ananisalimia kwakupiga magoti mpaka chini na kama hiyo haitoshi hunipelekea sabuni na mswaki aliouwekea dawa ya mswaki, kama hiyo haitoshi hurudi tena nakuniita kwa sauti ya upole, shemeji nenda kaoge tena akiwa amepiga magoti! Baada yakutoka kuoga nikiingia chumbani nakuta kitanda kimetandikwa kwa umaridadi na ameniandalia nguo ambazo nitavaa iwapo kama nitatoka, nakuta chai imeshatengwa mezani nakaribishwa kwakupigiwa magoti. Nanawishwa mikono kwa maji ya moto, chakula kinaombewa halafu nakaribishwa kwa sauti nzuri, yaani mmh! shemeji huyu tabia yake inanifanya nampenda zaidi ya sana kwakweli. Mbaya zaidi ni mrembo navutiwa nae hadi napitiliza, kwani ananionyesha upendo ambao hata mke wangu huwa hanionyeshi na sijawahi kuupata. Nampenda sana shemeji yangu, ila tu najilinda nisifanye dhambi ya kumtamani naku do nae!
mhm huyo anataka kufanya mapinduzi hapo nyumbani lol...safi kabisa huyo ndio mkee bwana sio hawa oh am busy need to work shenzi type!!! hudumia mume wako kamaking.
wewe mwana wala usiwe na presha akijiweka karibu mgegede tuu. yote maisha.
Kwa vile anakupigia magoti ndio umeona anakupenda?
Maana naona umesema mara kadhaa kuhusu kupiga magoti.
Kama that's a turn on kwako si umwambie mke wako nae apige?
Kwa hiyo unasemaje sasa hapo? kua hayo hawezi kumuomba mke wake akafanya au?we umeona kupiga magoti tu? ninyi wanawake vp? haujaona huyo shemeji yake anavoenda chumbani na kutandika kitanda anacho lalia dada yake? hujaona huyo shemeji anavomwandalia nguo wakati hiyo kazi anapaswa afanye mke wake kabla ya kwenda kazini?
Kwa hiyo unasemaje sasa hapo? kua hayo hawezi kumuomba mke wake akafanya au?
My point was that hivyo vinavyo mfurahisha kwa shem, si amwambie mke wake afanye?
Mbona unamchelewesha uyo shemeji??! Kama vp msugue tu mambo mengine baadae!
hivi umeolewa na mme wako kuna haja ya mme wako kukwambia utandike kitanda? kuna haja ya mme kukukumbusha kumwandalia nguo za kuvaa, kuandaa chai ya mmeo? km unataka uambiwe kila kitu basi hujui majukumu yako na hustahili kuitwa mke!
***nikiingia chumbani nakuta kitanda kimetandikwa kwa umaridadi na ameniandalia nguo ambazo nitavaa iwapo kama nitatoka ***
Kaka, kwanza inategemea na makubaliano.hivi umeolewa na mme wako kuna haja ya mme wako kukwambia utandike kitanda? kuna haja ya mme kukukumbusha kumwandalia nguo za kuvaa, kuandaa chai ya mmeo? km unataka uambiwe kila kitu basi hujui majukumu yako na hustahili kuitwa mke!
what about the commentator?:becky: