Shemeji yangu huyu ananitega!

Mimi naishi na mke wangu na tumejaaliwa kupata watoto wawili. Shemeji yangu baada yakumaliza shule, kaja kuishi nasi nyumbani kwangu, nimemtafutia chuo na anasoma nakurudi nyumbani, lakini maisha yake yamenifanya nizidishe upendo kwake. Kwakuwa mke wangu nimfanyakazi huwa sanyingine anaondoka mapema nakuniacha mimi, mimi ni mfanyabiashara na huwa nasafiri maramojamoja mikoani hivyo nirudipo nyumbani toka mikoani nabaada ya kusambaza biashara zangu, muda mwingi huwa nachelewa kutoka nyumbani na saanyingine nakuwepo tu nyumbani kwaajili yakupumzika jioni ndo huwa natoka. Sasa shemeji yangu huwa ananisalimia kwakupiga magoti mpaka chini na kama hiyo haitoshi hunipelekea sabuni na mswaki aliouwekea dawa ya mswaki, kama hiyo haitoshi hurudi tena nakuniita kwa sauti ya upole, shemeji nenda kaoge tena akiwa amepiga magoti! Baada yakutoka kuoga nikiingia chumbani nakuta kitanda kimetandikwa kwa umaridadi na ameniandalia nguo ambazo nitavaa iwapo kama nitatoka, nakuta chai imeshatengwa mezani nakaribishwa kwakupigiwa magoti. Nanawishwa mikono kwa maji ya moto, chakula kinaombewa halafu nakaribishwa kwa sauti nzuri, yaani mmh! shemeji huyu tabia yake inanifanya nampenda zaidi ya sana kwakweli. Mbaya zaidi ni mrembo navutiwa nae hadi napitiliza, kwani ananionyesha upendo ambao hata mke wangu huwa hanionyeshi na sijawahi kuupata. Nampenda sana shemeji yangu, ila tu najilinda nisifanye dhambi ya kumtamani naku do nae!

tofautisha kutegwa na kuheshimiwa, mbuzi wa kiume wewe, Hauna hata Adabu!
 
halafu inakuwaje shemeji yako anaingia chumbani na kutandika kitanda chenu? Mila za wapi hizo zinazoruhusu hilo??????
 
Kwa vile anakupigia magoti ndio umeona anakupenda?
Maana naona umesema mara kadhaa kuhusu kupiga magoti.
Kama that's a turn on kwako si umwambie mke wako nae apige?

Noooo, hapa unakosea. Mkeo akikupigia magoti haipendezi, inakuwa ni sawa na kumla tigo mkeo. Yaani unakula tigo huku unalia kwa kumsikitikia kuwa kaharibika.
 
Huyu jamaa ana weakness ya poor self esteem so hata mwanamke aki pretend tu kumheshimu, ana'fall in love'. Inawezekana sana katika ukuaji wake alikuwa anapondwa sana na wazazi ay peers wake waka demolish self esteem yake completely. With these kinds of husbands, you really need to humble yourself to bits and be very sensitive to his feelings and always be on the watch cz you might do a simple action yeye aka perceive kuwa hauna heshima just because he has a very poor self esteem.

Namhurumia mkewe kwa sababu hana appreciation. Mkewe anadamka na anamwacha bado kalala ila yeye anataka aje atandike kitanda. Anadamka ili yeye na wanawe wawe na maisha ya nafuu ila jamaa bado haelewi kisa eti hajamwekea chai mezani!!! Seriously una matatizo kaka yangu na unakoelekea kubaya. Changudoa akigundua hili tu, umeliwa, umeisha kabisaaaa cz atakufanyia yote unayoyataka na yeye atavuna yote kutoka kwako.

nimeipenda hii
 
Mimi naishi na mke wangu na tumejaaliwa kupata watoto wawili. Shemeji yangu baada yakumaliza shule, kaja kuishi nasi nyumbani kwangu, nimemtafutia chuo na anasoma nakurudi nyumbani, lakini maisha yake yamenifanya nizidishe upendo kwake. Kwakuwa mke wangu nimfanyakazi huwa sanyingine anaondoka mapema nakuniacha mimi, mimi ni mfanyabiashara na huwa nasafiri maramojamoja mikoani hivyo nirudipo nyumbani toka mikoani nabaada ya kusambaza biashara zangu, muda mwingi huwa nachelewa kutoka nyumbani na saanyingine nakuwepo tu nyumbani kwaajili yakupumzika jioni ndo huwa natoka. Sasa shemeji yangu huwa ananisalimia kwakupiga magoti mpaka chini na kama hiyo haitoshi hunipelekea sabuni na mswaki aliouwekea dawa ya mswaki, kama hiyo haitoshi hurudi tena nakuniita kwa sauti ya upole, shemeji nenda kaoge tena akiwa amepiga magoti! Baada yakutoka kuoga nikiingia chumbani nakuta kitanda kimetandikwa kwa umaridadi na ameniandalia nguo ambazo nitavaa iwapo kama nitatoka, nakuta chai imeshatengwa mezani nakaribishwa kwakupigiwa magoti. Nanawishwa mikono kwa maji ya moto, chakula kinaombewa halafu nakaribishwa kwa sauti nzuri, yaani mmh! shemeji huyu tabia yake inanifanya nampenda zaidi ya sana kwakweli. Mbaya zaidi ni mrembo navutiwa nae hadi napitiliza, kwani ananionyesha upendo ambao hata mke wangu huwa hanionyeshi na sijawahi kuupata. Nampenda sana shemeji yangu, ila tu najilinda nisifanye dhambi ya kumtamani naku do nae!

usha mtaman siku nyingi wewe, sema umejilinda ku do naye
 
Sanyingine mtu unaeza penda kwa vitu vidogo vidogo unavofanyiwa sio lazma mambo makubwa,kila mtu na jinsi alivo.
Hapo unamtamani kwa matendo anayokufanyia,cha msingi piga moyo konde usije ukajiingiza huko coz badae utajuta!
Just get biz stop being around her na kingine weka limitation kwenye huduma anazotoa,kukuandalia wewe nguo ama kukuekea maji bafuni mpaka dawa ya mswaki sio jukumu lake.
 
We hufiki mbali kashfa zitakukumba.Unaonekana ni mpenzi wa mukande sana kwani hivyo ni vitu vya kawaida kwa mtu mwenye maadili ikizingatia kwamba umemtoa uswekeni na kuanza kumtengezea maisha.Kwanini uanze kupata mawazo kwa 'kumtumbukizia ' D%&*$v? umefikiria itakuwaje likibumbuluka ? ndugu zake zako ? ACHA HIZO BABU
 
Hivyo vitu anavyokufanyia shemeji yako mpaka unahisi anakutega kwani mkeo hawezi au hajawahi kukufanyia? Na kwa nini usimwambie mkeo akufanyie same same ili usiendelee kutegeka kwa shemeji yako? Kwa sababu kama utaendelea kuruhusu kutegeka na kutegeka nadhani mwishowe utajikuta umekuwa tempted to touch!!!!!!!!!!!!!

Wala hajategwa huyu, tamaa zake tu. Tangu lini kupewa heshima ikawa kutegwa?
 
Brother naomba unisaidie contact zake huyo shemejio au niunganishe nae maana namuona kama vile anafaa kuwa mke wa mtu, please inbox her contacts na acha kumtamani shemejio
 
Back
Top Bottom